Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Nimehadithiwa na mkazi mmoja wa Mtwara juu ya siri ya timu ya soka ya Ndanda FC kutofanya vyema katika michuano ya ligi kuu Tanzania Bara. Nimeambiwa kuwa wananchi wa Mtwara kwa sasa wameisusa timu hiyo na hivyo inayumba na kufanya vibaya. Nikapewa stori kuwa Ndanda FC ilishikwa na inaendelea kushikwa na viongozi walio na mafungamano na CCM.
Kutokana na CCM 'kuchukiwa' na wananchi wa Mtwara kutoana na masuala ya gesi,kitendo cha viongozi wa Ndanda FC kufungamana na CCM kimewafanya wananchi wa Mtwara 'kuichukia' timu hiyo. Ndiyo maana hata mahudhurio na hamasa ya wananchi wa Mtwara na viunga vyake vimepunga kwa kasi.
cc THE BIG SHOW
Hilo nililijua mapema sana , siku hizi mambo yamebadilika sana , ukitaka kuwa adui wa wananchi jiambatanishe na ccm ! Hali hii ndio iliua kabisa bendi ya TOT .
Hilo nililijua mapema sana , siku hizi mambo yamebadilika sana , ukitaka kuwa adui wa wananchi jiambatanishe na ccm ! Hali hii ndio iliua kabisa bendi ya TOT .
Nimehadithiwa na mkazi mmoja wa Mtwara juu ya siri ya timu ya soka ya Ndanda FC kutofanya vyema katika michuano ya ligi kuu Tanzania Bara. Nimeambiwa kuwa wananchi wa Mtwara kwa sasa wameisusa timu hiyo na hivyo inayumba na kufanya vibaya. Nikapewa stori kuwa Ndanda FC ilishikwa na inaendelea kushikwa na viongozi walio na mafungamano na CCM.
Kutokana na CCM 'kuchukiwa' na wananchi wa Mtwara kutokana na masuala ya gesi,kitendo cha viongozi wa Ndanda FC kufungamana na CCM kimewafanya wananchi wa Mtwara 'kuichukia' timu hiyo. Ndiyo maana hata mahudhurio na hamasa ya wananchi wa Mtwara na viunga vyake vimepunga kwa kasi.
cc THE BIG SHOW
TOT yenyewe inayoongozwa na mzee wa kwenda kunya msituni unatarajia nini. na ife kabisa.Hilo nililijua mapema sana , siku hizi mambo yamebadilika sana , ukitaka kuwa adui wa wananchi jiambatanishe na ccm ! Hali hii ndio iliua kabisa bendi ya TOT .
safi sana. nadhani ni miongoni mwa habari nzuri kabisa kwangu kwa leo.
hivi kweli TOT wamekuwaje aisee
safi sana. naliona tumaini jipya.Hata kijijini kwetu ni hivyo. Uenyekiti wa kijiji ukitaka useme wewe ni upinzani utapata tu, na ole wako useme zidumu fikira za ............... umekula mzinga tayari.
Where is marlow
Nimehadithiwa na mkazi mmoja wa Mtwara juu ya siri ya timu ya soka ya Ndanda FC kutofanya vyema katika michuano ya ligi kuu Tanzania Bara. Nimeambiwa kuwa wananchi wa Mtwara kwa sasa wameisusa timu hiyo na hivyo inayumba na kufanya vibaya. Nikapewa stori kuwa Ndanda FC ilishikwa na inaendelea kushikwa na viongozi walio na mafungamano na CCM.
Kutokana na CCM 'kuchukiwa' na wananchi wa Mtwara kutokana na masuala ya gesi,kitendo cha viongozi wa Ndanda FC kufungamana na CCM kimewafanya wananchi wa Mtwara 'kuichukia' timu hiyo. Ndiyo maana hata mahudhurio na hamasa ya wananchi wa Mtwara na viunga vyake vimepunga kwa kasi.
cc THE BIG SHOW
Mkuu CDM wanakukaribisha kugombea ubungeNdanda Fc kabla ya kuja rasmi watui walikuwa hawajui kuwa kuna political affiliations humo ndan yake.
Its beyond ridiculous kwa ccm kuamin kwamba eti kwa kuja na gia hii ya kuasisi football club na kuifanya kama ngao yao basi kutawafanya wanamtwara kusahau machungu yao.
Ingekuwa wamefanya atleast jambo la maana kama wangeiasisi hiyo football club kisha wakaiacha bila kuiingilia.
Wanachofanya ccm ni kutapa tapa na kucheza POLITICAL PONOGRAOPHY.
Its a shame.
Ugomvi wetu sisi wamakonde na ccm ni mkubwa sana zaidi ya wanavyodhania.
nipo vizuri na jamii na ccm yangu sina dhiki kama za mtoa post