CCM yaiga mikakati ya CHADEMA

aya ccm,nadhani ndugu zako wamekuskia.sisi wengne tunapita pembeni
 
JEMBE NA NYUNDO-naogopa,sina hela mimi.ngoja nilale tu!
 
Huyu col. Lubinga ndo yule msemaji wa JWTZ au wamefanana tuu majina?
 
Mbona hukuzungumzia kufutwa kwa vyeo ambavyo havipo kikatiba? Au wewe ni moja ya victims!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…