Kaka kwa muda huu hakuna atakayekusikiliza na vipropaganda vyako feki. Tunahitaji mutatue kero zetu nyie maccm sio mnaleta mambo ya umbea hapa. Tumechoka na umbea wenu.
Yaani mtu mzima umekaa kabisa unaleta upuuzi huu huku unajua nini kinaendelea? Huu sio mpango sepa bana.
Join Date : 25th November 2012 Posts : 20 Rep Power : 315 Likes Received0 Likes Given0
Bado haujitambui kama huna hoja zinazoguza watu humu JF tangu umejiunga hakuna anayekupa like, anzisha ID nyingine uwe unajipa Like mwenyewe angalau ujifariji kwa ujinga ulionao.
Hakuna mtu yeyote mzima na mwenye akili timamu anaeweza kuihama CHADEMA na kujiunga na CCM, otherwise wawe watoto kama ilivyozoeleka kwa CCM ama ikawa kama ule mchezo wa mwizi kujiibia ili apigiwe kelele za mwizi na roho ifurahi.
Yaani tangu mwaka 1977 mpaka leo Magmba wana hangaika na kutafuta wanachama? mi nilifikiri haya mambo ni ya vyama vipya kumbe hata Magamba wamo kweny kusaka wanachama
Poor masisiyemu na vibaraka wake.....tuataka maji,umeme na yale maisha bora kwa kila mtz wewe unaleta hizi ngonjera za kipuuzi?kadi zeneyewe anaprint chemba la mav....wala hamna mshipa wa aibu?mmewisha hakika!!!!
wanaohama ni CDM TU? Nccr,cuf,tlp,na vyama vingine wao hawahamii MAGAMBA,NENDA ZAKO UJASHAWISHI MTU NA SERA ZAKO ZA UKILAZA,MTAUMIZA AKRI ZENU SANA ILA CDM INASONGA MBELE TU,
Aibu gani CCM eti mmeazimisha miaka 36 ya kuzaliwa Chama Cha Majambazi (CCM),juzi miji yetu ya Geita.Shinyanga na Kahama maroli yalileta watu kuwatoa vijijini eti sherehe hizo zionekane kuwa na watu wengi maajabu wote walikuwa VIKONGWE TU na eti walipewa fedha na wabunge wao
Ule mkakati wenu wa kuchapisha kadi bandia za CDM na kuzigawa wa wanasisiemu ili wajifanye wanahamia siesiemu ulioshindwa Iringa wakati wa mkutano wa Mangula pale Mwembetogwa ndio mmeuhamishia Sgd? Nape anarudi lini Dar uwahi posho yako!