CCM yaibomoa CHADEMA jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

CCM yaibomoa CHADEMA jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

Kama yanayofanyika nchi hii ni ya kuchekea hayo maendeleo yatapatikana wapi wakati watu wake wnaamini kwenye ulaji?
 
Ni ajabu chama kinachojidai kila siku ni kikubwa kufanya jambo la kuwapokea wanachama toka vyama vingine kuwa ni jambo la kitaifa. Tangu muanze kuwapokea hao wanachama wa vyama vingine enzi zile za kina Lamwai, Kilontzi Mporogomnyi, Nsanzugwako, Walid Kabourou,Fetus Limbu, Steven Wasira, Tambwe Hiza, na wengineo wengi, ni kitu gani cha kimaendeleo kwa Taifa kimetokea kwa tendo hilo?
 
Magufuli anatuachia nnchi tutafute wakutuongoza tumechoka kutawaliwa?
 
Ni kazi yake yeye kama katibu muenezi kuamsha tensheni za wapinzani.

mafisadi hayana chama
 
Au account imeibiwa so wapo katika harakati za kuirudisha.

Hans Pol
 
Kwa wenye akili timamu tu:
Hivi kuibomoa cdm ndio kuijenga ccm!?? ccm iliyoshindwa kuyatekeleza cdm ikiwepo itayaweza wakati cdm haipo!
 
kwa siasa za Tanzania, mwanachama kuhama chama sio habari ya kutikisa taifa. it is common phenomenon. watanzania hawafahamu maana ya kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa. kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa ni kuamini itikadi (ideology) ya chama. itikadi ni Zaidi ya Imani....ni kanuni (principles).....ni Imani (myth)......sasa hapa Tanzania ukisikiliza sababu za watu kuhama chama, unaweza kuzimia kwa mshangao. eti namuunga mkono Fulani, what if akifa kesho? what if his time as a leader ends na akaja mtu hovyo kabisa?
Kwangu binafsi nasubiri kutikisika nikisikia majina ya waliokwapua pesa kwenye viroba pale Stanbic Bank au siku wakitajwa wamiliki wa Kampuni ya Simba Trust iliyogaiwa 70% ya pesa ya Tegeta Escrow. Najiandaa kutikisika siku nikitajiwa hatua za kisheria zikichukuliwa dhidi ya uhujumu uchumi kwa wale walioweka saini mikataba ya kinyonyaji ya madini
 
Back
Top Bottom