watawala wa ccm wametengeneza mazingira ya utawala wa kisultani akitoka baba anafuata mtoto, hivyo sisi wengine tutaishia kuwa walimu na police. watanzania tufanye mabadiliko. ccm wataimaliza nchi.
Je mbunge aliyefariki naye alikuwa ni ndugu ya JK? Shame on you.