CCM yagawanyika

CCM yagawanyika

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,110
Reaction score
4,997
Tulizani itachukua muda mrefu kuona mgawanyiko wa kisiasa ndani ya CCM ila sasa hali si shwari.

Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana walipoambiwa chama ni mali ya familia fulani flani nao wameelewa wameamua kuendelea na maisha mengine.

Tumeona kanda ya ziwa zimetumika mbinu zote kuwavuta watu imeshindikana, boda boda wamegoma, wafanyabishara wamegoma na wazee wa chama wamegoma kujitokeza barabarani. Imelazimu tufunge shule tupate japo wanafunzi.

Vyombo vya habari vimelipwa fedha si haba kuweka propaganda , waliotangulia hakukuwa na fedha za propaganda sasa zimepatikana. Hii yote itoshe kusema misingi ya chama chetu inazidi kutikiswa. Kama tunaweza kutegemea nguvu ya vyombo vya habari kufanya siasa wakati hao wapinzani wetu wao wanatumia nguvu ya umma hatuoni kama tumepotoka?

Mwisho, kuna dharau inaendelea na inafanywa na walioshiba dhidi ya wasioshiba. Kama viongozi wote watasubiri maelekezo ya mtu mmoja tunategemea jamii itafakari vipi? Kwamba mawaziri wameshindwa kufanya kazi hadi wakumbushwe ndipo wafanye?

Mwisho wananchi wanadanganywa, hakuna miradi ya maendeleo isiyo na bajeti. Tumeona tukiambiwa jenga stendi miezi minne, jenga barabara nne, sijui jenga nini lakini fedha za kufanya haya hakuna kwenye bajeti kuu ya nchi. Mawaziri wanaosema tutajenga fedha watatoa wapi?

Chama makini kinapaswa kufanya siasa za kimkakati siyo kinachoendelea hivi sasa. Ukimdhalilisha waziri kwamba miaka yote alikuwa amekaa bila kazi siyo jambo jema kisiasa.

Dunia imebadilika sasa, kubadili njia za usafiri kuvutia wananchi siyo jambo la kufanya karne hizi kwa sababu ukweli ni kwamba hakuna kiongozi anatumia pikipiki, bajaji, punda, ngamia ,lori nk. Viongozi wote maisha yao ni V8. Je, unatembelea bajaji au lori kuonyesha nini? Kwanza Lori siyo chombo cha usafiri.

Let us act smart tunaojua thinking capacity ya chama chetu tunaona kama tunadhalllilika kwa stori zinazoendelea mtaani. One man show siyo issue tena tufanye mambo kama wanavyofanya wenzetu kwenye majukwaa ya siasa badala ya kuandaa mazingira ya wizi wa kura kwa wrong doing za watu wachache wasiotaka kujifunza.
 
Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana walipoambiwa chama ni mali ya familia fulani flani nao wameelewa wameamua kuendelea na maisha mengine

Tumeona kanda ya ziwa zimetumika mbinu zote kuwavuta watu imeshindikana, boda boda wamegoma, wafanyabishara wamegoma na wazee wa chama wamegoma kujitokeza barabarani. Imelazimu tufunge shule tupate japo wanafunzi

Dunia imebadilika sasa, kubadili njia za usafiri kuvutia wananchi siyo jambo la kufanya karne hizi kwa sababu ukweli ni kwamba hakuna kiongozi anatumia pikipiki, bajaji, punda, ngamia ,lori nk. Viongozi wote maisha yao ni V8. Je unatembelea bajaji au lori kuonyesha nini? Kwanza Lori siyo chombo cha usafiri.

Let us act smart tunaojua thinking capacity ya chama chetu tunaona kama tunadhalllilika kwa stori zinazoendelea mtaani . One man show siyo issue tena

tufanye mambo kama wanavyofanya wenzetu kwenye majukwaa ya siasa
napend kuwajua hao unaowaita "WENZETU"
badala ya kuandaa mazingira ya wizi wa kura kwa wrong doing za watu wachache wasiotaka kujifunza
 
Kuna mtu analazimisha watu waishi maisha ya msimu ambao tayari umeshapita, inafikia hatua mpaka analazimisha kupata baraka kutoka kwa MFU! Natamani kumjua baba wa kiroho wa huyu mtu.
 
Kuna waziri Jana aliulizwa swali kwenye mkutano akawekwa loud speaker, japo uso wake sikukuona lkn atakua hajapenda, au ndugu Makala sidhani Kama amefurahi kupewa maelekezo hadhara bila kumtaja waziri kiongozi na Gobore.
 
Ila CCM walichofanikiwa kwa watanzania ni kuwafanya wajinga ( kukosa elimu ) na kuwafanya waoga ( kukosa ujasiri).
Hapo waliweza.
 
Nchi ngumu sana hii,eti leo BASHITE MAKALIO MAKUBWA zero brain ndio anatoa maagizo kwa Mawaziri sijui fanya hiki,nakupa siku 10 kamilisha hiki,khaaa
Kama sio mbunifu lazima upewe amri. Sasa amri itakapotokea Ni swala jingine Ila tu elewa NATURE ARBHORS A VACUUM
 
BABA WA UPENDO IS IN BACK IN TOWN.......iwe kwa Punda, Ngamia, Farasi, Trekta,Ungo hata kuogelea, hakuna sehemu Baba wa UPENDO ataacha kanyaga ati......CCM nyoko Sana🤣🤣
 
Tulizani itachukua muda mrefu kuona mgawanyiko wa kisiasa ndani ya CCM ila sasa hali si shwari.

Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana walipoambiwa chama ni mali ya familia fulani flani nao wameelewa wameamua kuendelea na maisha mengine

Tumeona kanda ya ziwa zimetumika mbinu zote kuwavuta watu imeshindikana, boda boda wamegoma, wafanyabishara wamegoma na wazee wa chama wamegoma kujitokeza barabarani. Imelazimu tufunge shule tupate japo wanafunzi

Vyombo vya habari vimelipwa fedha si haba kuweka propaganda , waliotangulia hakukuwa na fedha za propaganda sasa zimepatikana. Hii yote itoshe kusema misingi ya chama chetu inazidi kutikiswa. Kama tunaweza kutegemea nguvu ya vyombo vya habari kufanya siasa wakati hao wapinzani wetu wao wanatumia nguvu ya umma hatuoni kama tumepotoka?

Mwisho, kuna dharau inaendelea na inafanywa na walioshiba dhidi ya wasioshiba. Kama viongozi wote watasubiri maelekezo ya mtu mmoja tunategemea jamii itafakari vipi? Kwamba mawaziri wameshindwa kufanya kazi hadi wakumbushwe ndipo wafanye?

Mwisho wananchi wanadanganywa, hakuna miradi ya maendeleo isiyo na bajeti. Tumeona tukiambiwa jenga stendi miezi minne, jenga barabara nne, sijui jenga nini lakini fedha za kufanya haya hakuna kwenye bajeti kuu ya nchi. Mawaziri wanaosema tutajenga fedha watatoa wapi?

Chama makini kinapaswa kufanya siasa za kimkakati siyo kinachoendelea hivi sasa. Ukimdhalilisha waziri kwamba miaka yote alikuwa amekaa bila kazi siyo jambo jema kisiasa.

Dunia imebadilika sasa, kubadili njia za usafiri kuvutia wananchi siyo jambo la kufanya karne hizi kwa sababu ukweli ni kwamba hakuna kiongozi anatumia pikipiki, bajaji, punda, ngamia ,lori nk. Viongozi wote maisha yao ni V8. Je unatembelea bajaji au lori kuonyesha nini? Kwanza Lori siyo chombo cha usafiri.

Let us act smart tunaojua thinking capacity ya chama chetu tunaona kama tunadhalllilika kwa stori zinazoendelea mtaani . One man show siyo issue tena tufanye mambo kama wanavyofanya wenzetu kwenye majukwaa ya siasa badala ya kuandaa mazingira ya wizi wa kura kwa wrong doing za watu wachache wasiotaka kujifunza
Bashite mtoto wa baba karudi kwa style nyingine. Si waziri mkuu wala mawaziri wote hakuna anayejua kitu. Wamuulize mzee Waryoba.
 
Mie nadhani ni muhimu alieichoka CCM atumie haki yake ya msingi kujiunga na chama atakocho pata pumziko ....

To me, CCM is doing tremendous nice job to make sure inawin the expectations za waTanzania kijamii, kisiasa na kiuchumi....

Hakuna dalili za mgawanyiko, mpasuko wala mwanya ndani ya CCM........

Tatizo ni moja tu, kutokuridhika na kinachotokea na kinachoendelea. Hiyo ni hulka ya Binadamu. Na hicho ni kipimo kizuri cha uhai wa chama kama mtu haridhiki na ameng'ang'ana humo humo chamani bila kuchoka.....
 
"Kuna Karne itafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi” Shaaban Robert
 
Tulizani itachukua muda mrefu kuona mgawanyiko wa kisiasa ndani ya CCM ila sasa hali si shwari.

Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana walipoambiwa chama ni mali ya familia fulani flani nao wameelewa wameamua kuendelea na maisha mengine

Tumeona kanda ya ziwa zimetumika mbinu zote kuwavuta watu imeshindikana, boda boda wamegoma, wafanyabishara wamegoma na wazee wa chama wamegoma kujitokeza barabarani. Imelazimu tufunge shule tupate japo wanafunzi

Vyombo vya habari vimelipwa fedha si haba kuweka propaganda , waliotangulia hakukuwa na fedha za propaganda sasa zimepatikana. Hii yote itoshe kusema misingi ya chama chetu inazidi kutikiswa. Kama tunaweza kutegemea nguvu ya vyombo vya habari kufanya siasa wakati hao wapinzani wetu wao wanatumia nguvu ya umma hatuoni kama tumepotoka?

Mwisho, kuna dharau inaendelea na inafanywa na walioshiba dhidi ya wasioshiba. Kama viongozi wote watasubiri maelekezo ya mtu mmoja tunategemea jamii itafakari vipi? Kwamba mawaziri wameshindwa kufanya kazi hadi wakumbushwe ndipo wafanye?

Mwisho wananchi wanadanganywa, hakuna miradi ya maendeleo isiyo na bajeti. Tumeona tukiambiwa jenga stendi miezi minne, jenga barabara nne, sijui jenga nini lakini fedha za kufanya haya hakuna kwenye bajeti kuu ya nchi. Mawaziri wanaosema tutajenga fedha watatoa wapi?

Chama makini kinapaswa kufanya siasa za kimkakati siyo kinachoendelea hivi sasa. Ukimdhalilisha waziri kwamba miaka yote alikuwa amekaa bila kazi siyo jambo jema kisiasa.

Dunia imebadilika sasa, kubadili njia za usafiri kuvutia wananchi siyo jambo la kufanya karne hizi kwa sababu ukweli ni kwamba hakuna kiongozi anatumia pikipiki, bajaji, punda, ngamia ,lori nk. Viongozi wote maisha yao ni V8. Je unatembelea bajaji au lori kuonyesha nini? Kwanza Lori siyo chombo cha usafiri.

Let us act smart tunaojua thinking capacity ya chama chetu tunaona kama tunadhalllilika kwa stori zinazoendelea mtaani . One man show siyo issue tena tufanye mambo kama wanavyofanya wenzetu kwenye majukwaa ya siasa badala ya kuandaa mazingira ya wizi wa kura kwa wrong doing za watu wachache wasiotaka kujifunza
Tulia Makonda afanye kazi,tena anatakiwa apewe nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM kabisa.Wazee gani unaowazungumzia,vijana unganeni na Makonda CCM itoke mikononi mwa Wazee wezi ambao wamejimilikisha nchi.
Bora ata Makonda kapanda roli,Rais Ruto alipanda torori na sasa ni Rais,usipende starehe sana Mjomba wapiga kura hawatembelei V8,wanatumia sana usafiri ambao Makonda anautumia kuwa nao karibu.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tulizani itachukua muda mrefu kuona mgawanyiko wa kisiasa ndani ya CCM ila sasa hali si shwari.

Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana walipoambiwa chama ni mali ya familia fulani flani nao wameelewa wameamua kuendelea na maisha mengine.

Tumeona kanda ya ziwa zimetumika mbinu zote kuwavuta watu imeshindikana, boda boda wamegoma, wafanyabishara wamegoma na wazee wa chama wamegoma kujitokeza barabarani. Imelazimu tufunge shule tupate japo wanafunzi.

Vyombo vya habari vimelipwa fedha si haba kuweka propaganda , waliotangulia hakukuwa na fedha za propaganda sasa zimepatikana. Hii yote itoshe kusema misingi ya chama chetu inazidi kutikiswa. Kama tunaweza kutegemea nguvu ya vyombo vya habari kufanya siasa wakati hao wapinzani wetu wao wanatumia nguvu ya umma hatuoni kama tumepotoka?

Mwisho, kuna dharau inaendelea na inafanywa na walioshiba dhidi ya wasioshiba. Kama viongozi wote watasubiri maelekezo ya mtu mmoja tunategemea jamii itafakari vipi? Kwamba mawaziri wameshindwa kufanya kazi hadi wakumbushwe ndipo wafanye?

Mwisho wananchi wanadanganywa, hakuna miradi ya maendeleo isiyo na bajeti. Tumeona tukiambiwa jenga stendi miezi minne, jenga barabara nne, sijui jenga nini lakini fedha za kufanya haya hakuna kwenye bajeti kuu ya nchi. Mawaziri wanaosema tutajenga fedha watatoa wapi?

Chama makini kinapaswa kufanya siasa za kimkakati siyo kinachoendelea hivi sasa. Ukimdhalilisha waziri kwamba miaka yote alikuwa amekaa bila kazi siyo jambo jema kisiasa.

Dunia imebadilika sasa, kubadili njia za usafiri kuvutia wananchi siyo jambo la kufanya karne hizi kwa sababu ukweli ni kwamba hakuna kiongozi anatumia pikipiki, bajaji, punda, ngamia ,lori nk. Viongozi wote maisha yao ni V8. Je, unatembelea bajaji au lori kuonyesha nini? Kwanza Lori siyo chombo cha usafiri.

Let us act smart tunaojua thinking capacity ya chama chetu tunaona kama tunadhalllilika kwa stori zinazoendelea mtaani. One man show siyo issue tena tufanye mambo kama wanavyofanya wenzetu kwenye majukwaa ya siasa badala ya kuandaa mazingira ya wizi wa kura kwa wrong doing za watu wachache wasiotaka kujifunza.
UJinga mtu,sijasoma
 
Back
Top Bottom