KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa uchumi na fedha Mwigulu Nchemba wameongoza maandamano leo kutoka ofisi ya CCM wilaya ya Mpanda kwenda kwenye Uwanja wa Shaulili ambapo wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu. Hakika wana Mpanda wameikubali sana CCM.
Hapo naona wengi ambao hawaelewi nini wanafanya vile vile wengi wamepewa T-shirts na kofia sijaona mtu alievaa tofauti
mitazamo bapa kama huu utawachelewesha watanzania wengi kujielewa na kuchukua hatua muhimu za kuleta maendeleo ya kweli katika nchi yetu.,nani kahukumu ya kuwa anayevaa kijani hana ufahamu wa nchi.,lakini mavazi pekee pia hayatoshi kuwa kigezo kikuu cha ufuasi.,ingawa ni kiashiria,tambua&thamini uwezo binafsi wa mtu kabla haujahukumu kundi.
Mushukuru maroli ya sumry yaliyowakusanya toka vijijini vinginevo mngeambuliaKATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa uchumi na fedha Mwigulu Nchemba wameongoza maandamano leo kutoka ofisi ya CCM wilaya ya Mpanda kwenda kwenye Uwanja wa Shaulili ambapo wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu. Hakika wana Mpanda wameikubali sana CCM.
Hao watu hawazidi 200 pamoja na kupewa unifomu!
Aibu tupu!