1. Hiyo ni kwa dar tu maana moshi sijawahi ona treni tangu mwaka 1995 na reli zimeshaanza kung'olea na kuuzwa kama chuma chakavu.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha
3. mikataba ya madini ndiyo hiyo ya kumruhusu muwekezaji kujenga kiwanja cha ndege mgodini? na kumruhusu kumuua mtanzania yeyote atakayepita karibu na mgodi?
5. powertiler nayo trector? moshi vijijini sijawahi kuziona labda za watu binafsi.
6. Ulizia mtwara njaa mpaka wakaanza kula ile miogo ya porini kumbe ni sumu baadhi yao wakafa.
7. amani gani! kichwa cha mwendawazimu, jeshi la polisi limeua watu wa ngapi wasio na hatia?
8. "vita nzuani" ina maana gani?
9. wahitimu wana ajira gani? na wanapoamua kujiajiri kwa kuwa machinga, mnawanyanyasa kwa kuwapiga, kuwafukuza na kuwanyang'anya mali zao.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
SWALI NUMBER 6.
Jibu.
[h=1]KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ATEMBELEA RUKWA NA KATAVI[/h] by John Bukuku on October 19, 2012 in
JAMII with
No comments
(NA JOEL MWAKABUNGU FULLSHANGWE-SUMBAWANGA)
Katibu mkuu wa Wizara ya ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Bw.Job Masami alitembelea mikoa ya Katavi na Rukwa kwa
ajili ya kutembelea na kukagua maendeleo ya shughuli ya uhamishaji wa shehena ya mahindi kutoka mjini Sumbawanga
mkoani Rukwa na kupelekwa mjini Mpanda mkoani Katavi, shughuli inayofanywa na malori yanayomilikiwa na Jeshi la
Wananchi wa Tanzania JWTZ.
Alielezwa kuwa hadi sasa zaidi ya tani 11,600 za mahindi zimeshahamishwa kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda kwa ajili
ya kusafirishwa kupelekwa kwenye Kituo cha Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa NFRA cha mkoani Shinyanga, na kwamba
ni jumla ya tani 20,000 za mahindi ndizo zinazotakiwa kuhamishwa kutoka Sumbawanga kwenda Shinyanga kwa ajili ya kukabiliana
na suala zima la njaa kwenye maeneo hayo ya kanda ya ziwa.
Alipata fursa vile vile kuongea na makamanda wa Jeshi hilo la ulinzi zmbalo lina malori 65 hadi sasa mkoani Rukwa na Katavi
yanayohamisha mahindi hayo, na kwamba wana mpango wa kuongeza malori mengine 50 ili kuharakisha uhamishaji wa
shehena hiyo ya mahindi, wakilenga kuukimbia msimu wa mvua unaokaribia kuanza, kwani mara kwa mara mvua zinachangia
kuharibu miundo mbinu.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
Acha kuweka pesa zako VIKOBA weka MKOMBOZI BENKI AU AMANA.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
aRUSHA KUWA JIJI. mBEYA KUFUNGULIWA KIWANDA CHA bia . Kila Mkoa kuwa na uwanja wa ndege.
Nchi nzima barabara kuu zina LAMI