CCM yafanya ziara kuimarisha chama Arusha.

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Viongozi wa ngazi za juu serikalini wametakiwa kushirikiana na waasis wa vyama hasa mabalozi wa vitongoji kutokana na wao kuwatambua wananchi wao kwa kiwango kikubwa hivyo kuweza kukuza chama na kupunguza uhalifu.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha wakati wa ziara ya chama cha mapinduzi kutembelea wilaya na kata kwa Wajumbe, Makatibu, Wenyeviti, Waasis wa vyama pamoja na Mabalozi kwa lengo la kujadili muongozo wa chama na changamoto zinazokumba baadhi ya kata. Mwenyekiti huyo ametembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha.
CCM OYEEEE......
 
Miaka 50 bado tu wanaimarisha chama? Ahadi walizoahidi wananchi mwaka 2010 watazitimiza lini?
 
Mkuu mleta mada hajitambui bado kalewa gongo kama wapo viongozi kuimarisha chama Arsha wametumwa na ccm kuimarisha cdm.
 
Matumizi mabaya ya pesa!!! ccm iko monduli tu Arusha!!!! Semeni tu ameenda kuwafariji ccm masalia.
ccm chama mfu arusha! aaaaaaaaah aaaaaaah
 
Mleta mada ukituksnwa utalalamika? Nyambaf
 
Matumizi mabaya ya pesa!!! ccm iko monduli tu Arusha!!!! Semeni tu ameenda kuwafariji ccm masalia.
ccm chama mfu arusha! aaaaaaaaah aaaaaaah
Hata huko Monduli ccm haipo. Wananchi wa huko wanaliwazwa na kupumbazwa tu na pesa za wizi...
 
Viongozi wa ngazi za juu serikalini wametakiwa kushirikiana na waasis wa vyama hasa mabalozi wa vitongoji kutokana na wao kuwatambua wananchi wao kwa kiwango kikubwa hivyo kuweza kukuza chama na kupunguza uhalifu.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha wakati wa ziara ya chama cha mapinduzi kutembelea wilaya na kata kwa Wajumbe, Makatibu, Wenyeviti, Waasis wa vyama pamoja na Mabalozi kwa lengo la kujadili muongozo wa chama na changamoto zinazokumba baadhi ya kata. Mwenyekiti huyo ametembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha.
CCM OYEEEE......
Yani hata sijui ni kwanini!!! Mtu akitaja ccm tu kichwa kinaniuma na kisha nahisi kichefuchefu, I am serious!
 
Kama ana mimba ya ukombozi aende clinic ya nini?

ya ukombozi! Huo ukomboz unaohubiriwa tangu enz za mtei hadi leo danganya toto! Mnazidi kuwanyonya mnaowadanganya mnawakomboa! Hadanganyiki mtu hapa!
 
Mkuu mleta mada hajitambui bado kalewa gongo kama wapo viongozi kuimarisha chama Arsha wametumwa na ccm kuimarisha cdm.

gongo mwulize Wilbroad Slaa anaijua vizuri na amejipanga kuitumia kama njia ya kushawishi watz wampe kura kwa kuendeleza na kukuza utengenezaji wa gongo!
 
Viongozi wa ngazi za juu serikalini wametakiwa kushirikiana na waasis wa vyama hasa mabalozi wa vitongoji kutokana na wao kuwatambua wananchi wao kwa kiwango kikubwa hivyo kuweza kukuza chama na kupunguza uhalifu.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha wakati wa ziara ya chama cha mapinduzi kutembelea wilaya na kata kwa Wajumbe, Makatibu, Wenyeviti, Waasis wa vyama pamoja na Mabalozi kwa lengo la kujadili muongozo wa chama na changamoto zinazokumba baadhi ya kata. Mwenyekiti huyo ametembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha.
CCM OYEEEE......
Lema tumbo joto
 
Back
Top Bottom