Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja na kukuta watu ni wachache mno na wengi wao ni watoto na akina mama ambao wamepewa kanga na sh 5000 ili waende kwenye huo mikutano yao,mgombea wa CCM ndugu Sioi Sumari ameendelea kutokukubalika maeneo mengi ambapo wananchi wamesema marehemu baba yake aliyekuwa mbunge Jeremiah Sumari aliwaahidi mambo mengi lakini mpaka kifo chake alikuwa hajatekeleza hata robo ya ahadi alizozitoa kwenye uchaguzi ulio pita.Tumewachoka CCM walisema wananchi wengi na kuanza kuimba tunaitaka CHADEMA ambaye ni mtetezi wa wanyonge..
Pedestrian thinking!Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Landala,

ki uhalisia ccm mmetota nape na hata wewe unajua kuwa dogo wa chadema anapeleka puta vipi kaka niliona humu siku ya uzinduzi wa campaigh picha za magari (mabasi na malori)zikiwa zimebeba watu kutoka sehemu zilizo inje ya jimbo la uchaguzi kaka vipi hawa walikuja kufanya nini?landala,
kwakuwadanganya huku wenzio ndio mtakuja sema mmeibiwa kura. Hakuna mahali ccm wamekosa watu kama unavyodai, sasa sijui mwisho wa uongo na uzushi kama huu ndio yale ya uzini, ccm 5000, cdm 200.........oooooh tumeibiwa! Siasa yataka timing dogo!!!
Na huu ni mwanzo tu 2015 Nape atamsujudia Lowassa.Kweli nimeamini CCM ni taasisi ya Lowassa. Mpaka Nape ameanza kumlamba miguu! Pesa mwanaharamu. Ooh Siyoi is not fit or sijui nini! Vuvuzela wewe!
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Hivi ni Nape huyo huyo mvua maghamba au mwingine!!!!Tayari kazi yake imekwisha, kweli fedha ni laana tupu!!!!Pole kaka umemezwa mzima mzima!!!!Na huu ni mwanzo tu 2015 Nape atamsujudia Lowassa.
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja na kukuta watu ni wachache mno na wengi wao ni watoto na akina mama ambao wamepewa kanga na sh 5000 ili waende kwenye huo mikutano yao,mgombea wa CCM ndugu Sioi Sumari ameendelea kutokukubalika maeneo mengi ambapo wananchi wamesema marehemu baba yake aliyekuwa mbunge Jeremiah Sumari aliwaahidi mambo mengi lakini mpaka kifo chake alikuwa hajatekeleza hata robo ya ahadi alizozitoa kwenye uchaguzi ulio pita.Tumewachoka CCM walisema wananchi wengi na kuanza kuimba tunaitaka CHADEMA ambaye ni mtetezi wa wanyonge..
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Acha kupotosha umma...Landala,