Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 437
Zanzibar hakunaga polisi
Nakubaliana na wewe Mkuu, lakini aliyefungua ni Makamu wa Rais wa Tanzania. what up with that?Zanzibar ni dola na ina maamuzi yake haingiliwi na Bara hivi maelezo yote aliyotoa Lissu akinukuu katiba mpya ya Zanzibar wadau hamkuyaelewa??Zanzibar sio sehemu ya Jamhuri ya muungano ni dola kamili ndio maana haitii chochote kinachoagizwa na Jamhuri ya Muungano!
Waache waendelee kubweteka huku wakiamini siasa za kizamani na za kibabe zitawasaidia. Wakija kushtuka watajuta kukunja ngumi wakati ugomvi umeshaisha.
Binafsi ninaamini kuna shahidi nyingi zinazoka haki za binadamu na bado sisi kama Watanzania tunazifumbia macho.
Serikali hii bado inashitakika katika majukwaa ya kimataifa na kwa hisani.
Vilevile shahidi hizi sisi kama wapiga kura tunapaswa kuzikumbuka na kuwaondoa hawa madhalimu wasaa wa kupiga kura utapowadia
Wameshalewa madaraka hawawezi kulikumbuka hilo