CCM yabomoa ngome ya CHADEMA Longido, yakomba wanachama 1,200

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
*ZAIDI YA WANACHAMA 1200 WA CHADEMA WAHAMIA CCM LONGIDO*

Disemba 23,2017

Katika uzinduzi wa Kampeni za CCM katika Jimbo la Longido zilizoongozwa na Kada Dr Mwigulu Nchemba waliokuwa wanachama CHADEMA zaid ya 1200 wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.

 
Ni sahihi ni birthday ila ni approximation zilifanyka kutkana na msim ambao Jesus alzalwa not exactly 25 December umenpata mkuu ?
 
Very good,nishauri sasa wajikite katika kuwahamisha au kuwabadilisha wasomi angalau wapatikane watawala wa kesho na kesho kutwa.
 
Back
Top Bottom