Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Mleta mada hawezi kuelewa hili swali lako.Unataka tutegemee mabadiliko makubwa ya majina, sio ya hali ya mambo yanavyokwenda serikalini?!
Unataka kuitabiri CCM ili iweje.Huu unaweza kuwa ni ufundi au ustadi wa kutunza siri, jambo ambalo linatoa picha kuwa CCM ya sasa ni Imara sana.
Ngome za Rais Samia ni ngumu kuzitabiria matokeo kwa kile wanachokipanga hapo mwanzo ulitoka utabiri wa safu ya viongozi ambao imepanguliwa na hakuna hata jina moja limeweza kupenya.
Kwa hali na teuzi jinsi zinavyokwenda tutegemee mabadiliko makubwa ya majina na uongozi kwa Rais Samia Suluhu.
Hongera Dkt Samia Suluhu Hassan wanasema wenye hekima, Kiongozi ukiweza kulinda siri umefanikiwa kwenye uongozi wako asilimia 100.
Unataka kuitabiri CCM ili iweje.
wananchi tuantaka usimamizi dhabiti wa Rasilimali zetu.
Unaongelea madaraka badala ya kuongelea maendeleo
Uteuzi haujawahi kuwa siri hata siku moja, labda kwenye nchi zetu.Huu unaweza kuwa ni ufundi au ustadi wa kutunza siri, jambo ambalo linatoa picha kuwa CCM ya sasa ni Imara sana.
Ngome za Rais Samia ni ngumu kuzitabiria matokeo kwa kile wanachokipanga hapo mwanzo ulitoka utabiri wa safu ya viongozi ambao imepanguliwa na hakuna hata jina moja limeweza kupenya.
Kwa hali na teuzi jinsi zinavyokwenda tutegemee mabadiliko makubwa ya majina na uongozi kwa Rais Samia Suluhu.
Hongera Dkt Samia Suluhu Hassan wanasema wenye hekima, Kiongozi ukiweza kulinda siri umefanikiwa kwenye uongozi wako asilimia 100.
Uteuzi haujawahi kuwa siri hata siku moja, labda kwenye nchi zetu.
Ahsante!Ni ushamba unawasumbua wengi. Nchi zilizoendelea Rais anaweza kutangaza nia ya kumteua mtu hadi mwezi mzima kabla ya uteuzi kamili kufanyika.
Mfumo upi sophia kuwa katibu mweneziHakuna maendeleo bila uthibiti wa mifumo.
Kwaio viongozi wa umma ni siri? Poor tz
Amepanic kweli-kweli 😂Kazi iendelee,hata Kigogo kafeli pakubwa
Mfumo upi sophia kuwa katibu mwenezi
Kwani kigogo atatowaje Siri zake hahahaha jaribu kuwa seriousKazi iendelee,hata Kigogo kafeli pakubwa