CCM wote ni mafisadi?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Imekuwa kawaida kwa CCM kuitwa chama cha mafisadi. Kiukweli (au kisheria na kihalisia),wanachama wa CCM wote ni mafisadi? Kwanini? Nisaidieni Wakuu kuelewa hapa
 
Kamuulize katibu uenezi akupe jibu.
Imekuwa kawaida kwa CCM kuitwa chama cha mafisadi. Kiukweli (au kisheria na kihalisia),wanachama wa CCM wote ni mafisadi? Kwanini? Nisaidieni Wakuu kuelewa hapa
 
jibu ni ndio ,ni wote mafisadi,sababu mwenyekiti wa ccm anao uwezo wa kuwafukuza au kuwachukulia hatua za kisheria ila mwenyekiti wenu kaamua kuwakumbatia mafisadi,alafu yeye mwenyewe sio msafi kwahiyo wote mnaonekana wezi
 
Hilo nalo gumu kweli kuelewa, haya wengine ngoja waje kukujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…