ni wale wazee wa Dsm Pamoja na makundi ya mama lishe, vibaka, wezi na watu wa hovyo hovyo, nakuambieni wal hupewa posho ya 3000Tsh kwa kila tukio wanaloshiriki, hawajui ukombozi wao ni kuwakataa ccm, ila ipo siku.
nayataja makundi ya wazee, MAMA lIshe kwa maana yakuonesha namna ccm inavyopenda kutumia makundi hayo kujipatia kura kwaahadi ya maisha bora kisha huwakimbia baada ya kupata kura.