Nimefanya saisa miaka mingi nakuhakikishia binti wewe huwa hakuna maridhiano kati ya wanye njaa (viongozi wa upinzani) wenye shibe ( viongozi wa CCM)Leo ndio umejithibitisha kuwa una AKILI NDOGO
Maridhiano ya Chadema na ccm huujui msingi wake ndio maana kwa udogo wa Akili zako unadhani ni Muungano wa Chadema na Ccm.Magufuli Rais katili kupata kutokea ndio aliyesababisha Chadema na Ccm wakae pamoja kufanya Maridhiano ktk mambo ambayo Magufuli aliyaharibu
Chadema itaendelea kuwa Chama Adui wa CCM
Mimi nipo sukuma gang,kundi la hakiLimejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.
Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka #kizimkazi pemba wing ,litakuwa la wazawa wa kule anapotokea mh.rais Samia Suluhu Hassan kuongeza nguvu kwa chawa wa mama na Chadema ambao kwa sasa wapo na mpinzani wao CCM kwa mujibu wa mbowe kule mwanza ikiwa ni zao la makubaliano ya ikulu.
Kwa sasa SUKUMA GANG watapata tabu sana maana wanapambana na vikundi vingine vingi vinavyoweza kuibuka kufuata ulaji kama walivyo fanya chadema,vita hivi itakuwa kubwa.
USSR View attachment 2515682
Umesahau lile genge la awamu ya 5:- WASIOJULIKANALimejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.
Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka #kizimkazi pemba wing ,litakuwa la wazawa wa kule anapotokea mh.rais Samia Suluhu Hassan kuongeza nguvu kwa chawa wa mama na Chadema ambao kwa sasa wapo na mpinzani wao CCM kwa mujibu wa mbowe kule mwanza ikiwa ni zao la makubaliano ya ikulu.
Kwa sasa SUKUMA GANG watapata tabu sana maana wanapambana na vikundi vingine vingi vinavyoweza kuibuka kufuata ulaji kama walivyo fanya chadema,vita hivi itakuwa kubwa.
USSR View attachment 2515682
Hahahahaaa, maridhiano ya samia na chadema,si maridhiano ya ccm na chadema,hiyo ni kama ndoa za jinsia moja,haina masirahi kwa Taifa,ndio maana mbowe ni kama katibu mwenezi wa ccm,na chadema ni Tawi dogo la ccm,Leo ndio umejithibitisha kuwa una AKILI NDOGO
Maridhiano ya Chadema na ccm huujui msingi wake ndio maana kwa udogo wa Akili zako unadhani ni Muungano wa Chadema na Ccm.Magufuli Rais katili kupata kutokea ndio aliyesababisha Chadema na Ccm wakae pamoja kufanya Maridhiano ktk mambo ambayo Magufuli aliyaharibu
Chadema itaendelea kuwa Chama Adui wa CCM
Sukuma gang mnaendelea kuteseka hadi baada ya miaka 50 ijayoLimejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.
Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka #kizimkazi pemba wing ,litakuwa la wazawa wa kule anapotokea mh.rais Samia Suluhu Hassan kuongeza nguvu kwa chawa wa mama na Chadema ambao kwa sasa wapo na mpinzani wao CCM kwa mujibu wa mbowe kule mwanza ikiwa ni zao la makubaliano ya ikulu.
Kwa sasa SUKUMA GANG watapata tabu sana maana wanapambana na vikundi vingine vingi vinavyoweza kuibuka kufuata ulaji kama walivyo fanya chadema,vita hivi itakuwa kubwa.
USSR View attachment 2515682
Umesema ukweli mtupu na nashukuru kama umegundua huyo mleta uzi kuwa ni kati ya vijana waliokuwa wananufaika na migogoro ya ccm na cdm.Leo ndio umejithibitisha kuwa una AKILI NDOGO
Maridhiano ya Chadema na ccm huujui msingi wake ndio maana kwa udogo wa Akili zako unadhani ni Muungano wa Chadema na Ccm.Magufuli Rais katili kupata kutokea ndio aliyesababisha Chadema na Ccm wakae pamoja kufanya Maridhiano ktk mambo ambayo Magufuli aliyaharibu
Chadema itaendelea kuwa Chama Adui wa CCM
Hao wote wanaobeza maridhiano ya kisiasa kati ya ccm na cdm basi ni wanufaika wa migogoro kati vyama hivyo.Mtajuana wenyewe "magang ya chama cha mambuzi".
Msoga Gang.
Sukuma Gang.
Samia Gang.
Lumumba Gang.
CCM Gang.
Yote hayo ni magenge ya kihalifu yaliyo chini ya genge kubwa zaidi la kihalifu lililojivika vazi la "chama cha siasa".
Mkurya wa hovyo kabisa. Nashukuru kwa sasa unaishi maisha ya kubahatisha na mbinu zako za kutesa na kupora watu hazina tena nafasi.Nimefanya saisa miaka mingi nakuhakikishia binti wewe huwa hakuna maridhiano kati ya wanye njaa (viongozi wa upinzani) wenye shibe ( viongozi wa CCM)
USSR
Sukuma gang mmekwiiishaaaqInashangaza
SahihiJapo nyasi ndizo zitakazoumia ila angalau mwewe awe anaokota hata panzi!.
Kundi la kiporajiMimi nipo sukuma gang,kundi la haki
Wakati yeye ndiye alikuwa mkuu wa kitengoUmesahau lile genge la awamu ya 5:- WASIOJULIKANA
Sukuma gang mmekwiiishaaaq
Eeh haya mapyaLimejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.