CCM watueleze, kwanini wanang'ang'ania muungano?

profesa.n.

Member
Apr 23, 2012
84
58
Cjaonafaida ya mungano,bali unatuletea umasikini na kelele zisizo kua na maana,kama vp zanzibar,wa chape lapa,huku tanzania bara,coz hawa maendeleo
 
Muungano wenyewe ulishakosa uhalali tangu kitambo. Kama muungano ni wa nchi mbili kuunda nchi moja iweje Katiba ya Zanzibar itambue uwepo wa nchi ya Zanzibar nje ya muungano?? Na Tanganyika yetu imepelekwa wapi???? Je,utashi wa watu wawili unawezaje kutufunga mpaka leo,tena tukiambiwa kuwa mchakato huo ulikiuka sheria(japo wengi wanakiuka ukweli huu)??? Iweje washindwe kuziweka hati za Muungano wazi kila mtu ajionee kama kuna uhalali. Tunasahau kuwa jamii si static ni dynamic,tukubali kuwa now hatutaki muungano. Wanzanzibar wasidhulumiwe wapewe nchi yao,maana hata mkitumia nguvu kuwanyamazisha wazanzibar wanaodai haki yao kihalali basi wajukuu na vitukuu wao watakuja kusimama kudai haki hiyo.
Tujifunze yanayotokea Kenya kati ya serikali ya nchi hiyo na Mombasa Republican Council(MRC)
say no to muungano.
 
Cjaonafaida ya mungano,bali unatuletea umasikini na kelele zisizo kua na maana,kama vp zanzibar,wa chape lapa,huku tanzania bara,coz hawa maendeleo

CCm lazima waunganganie muungano maana bila muungano ccm nayo haipo na ikitokea hivyo italazimu kiundwe chama kipya ambacho kwa muda huo itakuwa too late kwao kupambana na CDM.Ila kwa hali ilivyo sasa ni heri wakauvunja ili kuruhusu watu kujifunza toafauti ya kuishi bila muungano.CCM kama wako serious watafute waatalaamu waliobobea katika masuala ya siasa wawashauri, na kama wakileta zarau hatuta kuwa nao tena.Angalau wenzao CDM wanatafuta vichwa ndo wanaviweka mstali wa mbele , wao wanamchukua Nape na Makamba huku wakijua shule zao ni urithi wanategemea nini?
 
Kwa sasa hivi waliobaki CCM hakuna anayejua wote Mambumbumbu... Mfano Nape anavyoifanya CCM yake angesha

rukia hilo jambo lakini hana hekima yoyote ya kuliongelea...
 
Mleta thread hii nakuunga mkono 101% HAKUNA FAIDA HATA MOJA YA WATANGANYIKA KUUNGANA NA WAZANZIBAR LEO.
 
Their fear ni kwamba wakivunja muungano "Dhambi ya muungano itaendelea kuwatafuna" as J.K Sayed,so they have to stay united with Zbar though no much benefits are gained from that unity!!
 
Their fear ni kwamba wakivunja muungano "Dhambi ya muungano itaendelea kuwatafuna" as J.K Sayed,so they have to stay united with Zbar though no much benefits are gained from that unity!!

Mungano ndio unakiweka na kuwaweka madarakani hao CCM ,100% muungano ukisimamishwa na kuondolewa basi kaburi la CCM litakuwa next ya La mungano.
Nahunga mkono CDM na sera ya serikali tatu ,ila yule mmama mmoja cjui mbunge wa wapi wa CDM pale jangwani alinistua aliporuka na sauti ya kushajihisha kwa kusema Baba Yesu asifiwe mbele ya umati wa watu,alisema alipopewa nafasi awasalimie wananchi wa DSM ,dizaini za watu wa aina hii inaweza kuwa ni mamluki ,akina Slaa na wenzake walionekana kutazamana pale kwenye jukwaa ,kwa hisia kuwa mwenzao amevuruga.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom