CCM watoa hongo ya WALI KUKU kwa wananchi wa IGUNGA!

halafu watoto ndio waliohudhuria mkutano huo.ccm wanajua kuwa ili watawale wananchi wanatakiwa wawe masikini wa kutupwa wawahonge ubwabwa
 
Tuna Takukur ambayo ina macho lakini haioni,ina masikio lakini haisikii
 
Hakuna kuku hapo mbona? Naona wali na kabechi tu
...Mkuu huenda wewe umeangali ukaona ni wali na kabechi wenzio wamechungulia wakaona wali kuku......teeh teee teee teeeh ama kweli magamba kwishney sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…