Leo muda wa saa moja jioni maeneo ya Nyakato sokoni Ilemela Mwanza. Wana CCM wakiwa wanatoka kwenye kampeni, waliamua kupiga kila waliye kutana naye njiani akiwa na Bendera ya UKAWA na hata kupiga magari na baadhi ya magari kuharibiwa na kusababisha vurugu/foreni kubwa eneo hilo bila hata kuzuiwa na Jeshi la polisi ambalo lilionekana eneo hilo.
Kitendo hiki kisipo kemewa kwa nguvu zote kitatuharibia Amani yetu tulio nayo. Na kwa sasa umezuka mtindo wa wanaccm kupiga watu hasa katika Wilaya ya Ilemela pale wanpo kuwa wanatoka katika kampeni bila sababu yoyote pale wanapokuona una kitu chochote kilicho na Maandishi ya vyama vingine (ukawa).
Tafadhali sana tunaomba Jeshi letu la Polisi lidhibiti hali hii kabla ya uchaguzi kufanyika.