muntu marwa
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 155
- 26
Ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.
ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo
JK mwenyewe anajua hilo. Ila maccm wanamuharibia. Yeye hana shida kabisa na cdm, anatumia elimu ya kijeshi sasa wapumbavu wanamuharibia. Chikawe, Wasira na wengineo wapumbavu kam hao.Ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo
...unaota ndoto ukiwa pangoni...na kipigo cha 2015 hamtakaa mkisahau,ngojeni tu...Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.
Nipo hapa Iringa mbona kuna Bendera nyingi za CCM kuliko nilivyodhania? Acha uwongo wewe!!!!
Wadanganye wajinga wenzako
Ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo[/
HAPO SAFI KABISA CCM WAMEZOEA iringa huo haukubaliki hata kidogo kutukuza ccm iliyoshindwa katika jimbo hilo eti bendera za ccm zipepee na zile za CDM ZISHUSHWE. HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
Iringa ipi unayosema wewe Iringa mpaka Tunduma unahesabu bendera za CCM sasa huyo mwenyekiti wa CCM kwa kweli hajijui hawezi kujiuliz a kwa nini bendera zote mpya au ndio yale yale pitisha kombe mwanaharamu apiteNipo hapa Iringa mbona kuna Bendera nyingi za CCM kuliko nilivyodhania? Acha uwongo wewe!!!!
Wadanganye wajinga wenzako