mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
Wamejiweka kwenye dillemma mbaya kabisa. Kila upande wanaogusa hauna nafuu. Wanatamani kuahirisha bunge la katiba wanaona aibu wakiwa na wasiwasi pia na impact yake kwao kisiasa. kwamba ukawa wataonekan wameshinda.
Kuendelea na bunge nako kuna adhari mbaya pia. hawatakuwa na theluthi mbili wakati wa kufanya maamuzi na hivyo katiba kukwama. hivyo lawama watabeba wao.
Pia mambo yote wanayofanya mle hasa kuondoa maoni ya wananchi na kujipendelea wao yatafanya mchakato uonekane haukuwa na maana. Hivyo watalaumiwa wao moja kwa moja.na pia ni kujitia kitanzi maana inawaonesha rangi zao hasa.
Inaonekana kwamba wameamua kuchagua the lesser evil ambalo ni kuendelea na BMK potelea mbali. Lakini mimi naona wamechagua vibaya hili lesser evil.
Hili lina adhari mbaya zaidi kwao kuliko wangeamua kusimamisha mchakato na kuweka mambo sawa kwanza. Pampoja na kwamba wangejisikia kam wamezidiwa na ukawa lakini wangeonekana wamekuwa na busara zaidi. na wangejiepusha na aibu kubwa zaidi mbele ya safari hasa hii ya kula posho na raismu kwenda kukataliwa na wananchi.
Ila kwa vyovyote vile CCM watakavyofanya ukawa watakuwa na ushindi km wataendelea kushiklia msimamo wa kutorudi bungeni. hasa hili la kukubali kupoteza maposho yote hayo kwa ajili ya kutetea maoni ya wananchi yaliyomo kwenye katiba.
Na sasa ukawa wanazidi kupata nguvu kutokana na CCM kuanza kuondoa waziwazi yale maoni mazuri ambao watu waliyashabikia sana km kuwadhibiti wabunge, mawaziri kutokuwa wabunge, kupunguza mamlaka ya rais.
Hili linaonesha kinagubaga kwamba kweli CCM hawana nia njema na hili swala la katiba.
Ukawa shikilieni hapohapo matapoteza maposho manono lakini matagain sana kisiasa! Mwisho wa siku madudu ya CCM yataonekana.