Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Kwa ccm hilo mbona ni jambo la kawaida mkuu labda ungetuambia kwenye uchaguzi huu ccm hawajatoa rushwa kwa wapiga kura hiyo ndiyo ingekuwa habariCCM Kinondoni wapo kwenye Kikao cha siri Mwananyamala wakipewa maelekezo jinsi ya kuratibu zoezi la kugawa Sabuni, Chumvi, T-Shirt, Kanga na Kofia za CCM ili kurubuni watu wamchagua Mgombea wa CCM aliyekataliwa na watu baada ya kuuza Ubunge wake.
View attachment 690325
Kuna ubaya gani kutoa rushwa?Kuna ubaya gani? na nyie kaeni chobis mje na mkakati mpya..
Duuuh kumbe ndiyo maana Mwenyekiti wao alisema pakeni grisi, sasa nimeelewa maana ya grisiKuna ubaya gani kutoa rushwa?
hii ni moja ya rushwa.Kuna ubaya gani? na nyie kaeni chobis mje na mkakati mpya..
Hizi zawadi huwezi kuzipata isipokuwa wakati wa uchaguzi tu!!!CCM Kinondoni wapo kwenye Kikao cha siri Mwananyamala wakipewa maelekezo jinsi ya kuratibu zoezi la kugawa Sabuni, Chumvi, T-Shirt, Kanga na Kofia za CCM ili kurubuni watu wamchagua Mgombea wa CCM aliyekataliwa na watu baada ya kuuza Ubunge wake.
View attachment 690325
Wanaratibu kugawa t.shirt nazo ni tushwa mkuu?Kuna ubaya gani kutoa rushwa?
Sijaziona Pushapu Au ziko Likizo sioni makeke ya Msukuma na Sendeka wako wap? Au ndo Ujinga mloufanya kusema ndio Mzee kwa Mtulia na bado Suruali zitawashuka Mtulia hauzikiiiiiSafari hi hamruki na chopa ? Makengeza kafirisika, na mamvi naye choka mbaya