CCM wapata wakati mgumu vyuo vya dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wapata wakati mgumu vyuo vya dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by namboyo, Apr 17, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jana kwenye mkutano wa ccm na wana vyuo kada mkongwe mzee kingunge na wenzake waliwashauri vijana ambao ni makuhadi wa ufisadi kuwa watashonewa mashati ya kijani ili wavae kwenye mihadhara au vipindi lakini suala hili limekua likipingwa kwa siri na waahidiwa kwa kuwa waahidiwa wanaogopa kuzomewa na wenzao vyou vya dodoma vinaichukia ccm kwa kuwa ccm imetelekeza dodoma.walihudhuria kikao hicho walisema kuwa huwavaa tisheti na mashati kwa kuwa ni kujidhalisha mbele ya uma .hata hivyo tisheti walizo pewa kwenye vikao ili kijani kijani ionekane walizificha ili zionekane wakiogopa kuitwa wakala wa ufisadi.tarifa zinaonesha kuwa vijana walienda kupata posho na wakatolewa kapa .baada ya kurudi mama mmoja alifika eneo fulani la kulia msosi akataka kumpa mwana cdm mmoja huku jamaa akikataa ofa
   
 2. skendo

  skendo JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatu bila! walianza wao wenyewe siasa vyuoni sasa tumewasikia tumewafikia unadhani janki gani wa .com atakua ccm dunia ya leo?
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  waambie waedelee na mpango wao wa kuwapa kadi za kijani watoto wa sekondari lakini huko vyuoni watachemka maana watu wameshakuwa na akili timamu.
   
 4. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,830
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Kijana yeyote anayeshabikia ccm lazima zitakuwa hazimtoshi upstairs.Kusupport chama cha magamba ni kujidhalilisha....
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka siasa ziliondolewa katika vyuo, ila ilirudi kwa nduvu sana akina riz one akiwa udsm, sasa upepo haundi kwao watavifunga sasa hivi
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Vijana wasomi ndio wanatakiwa kuwarudisha nchi mikononi mwa umma,wakizubaa wenye hasara ni wao,na wakivifunga vyuo vijana wtarudi vijijini kueneza elimu ya uraia
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Sasa nimeelewa kwa nini Shukuru Kawambwa kawapiga beat malecturer. Kumbe vyuoni hali ni ngumu sana ka CHICHI EMU. Wasitafute mchawi, vijana japo ndo hivyo wengi ni shule za kata wamekuwa na uelewa mkubwa sana wa politics za Tz. Niliwahi wasikia vijana wa secondary wamekaa kijiweni wanaongea issues za politics na economics za TZ mpaka nikajiuliza hawa nani anawafundisha wakati shule zenyewe walimu hawafiki watano.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hiki chama sijui wafanye nini ili wajikomboe na hii fedheha!
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  Na hcho ndo kikubwa madogo lazima waiambie ccm no more...serikali ikitia mkono tu madogo watapiga kunji wakiimba "kama si wewe...na ile soolidarity frever,sooolidarity...ccm ikijichanganya tu nchi nzima vyuo vinapiga kunji na huo ndo utakuwa mwisho wa JK na ccm yake,wasomiiiiiii
   
 10. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Kaka msuaso nini! Ha ha ha ha. Kunji linalipa. Pipoz power
   
 11. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Duh!,kuvaa magwanda ya kijani na kukatiza nayo mitaa ni ngumu jamani,nnamshangaa sn kijana anaekiunga mkono chama cha magamba;
  1-Atajidhalilisha utu wake
  2-Atakuwa ni mwizi sbb anatetea wezi
  3-Ana macho lakini haoni
  4-!!!!!!!!!!!yapo mengi
   
Loading...