CCM Wapata ushindi katiba mpya

CCM Wapata ushindi katiba mpya

ethink

Member
Joined
Mar 5, 2009
Posts
11
Reaction score
5
Ndg. wanajamii mtakumbuka tangu viongozi wa waandamizi wa chama walipinga uanzishwaji katiba mpya.

Nadhani yanayotokea sasa na tangu utungwaji wa sheria yenyewe yawezekana ilipangwa kwa makusudi ili katiba ya sasa iendelee.

Kwa mantiki hiyo mpango mkakati wa CCM umefanikiwa kwa 100% na sasa katiba ya sasa inaendelea kubaki kama ilivyo ilani ya Chama.

Hongereni CCM kwa linda ilani yenu ya uchaguzi.
 
Bawacha bana ndiyo umeandika nini sasa.
 
Nia yao itakuwa ilikuwa hiyo, ila makundi ya CCM yaliamua kutumia nafasi hiyo kumpeleka kibra Mzee 6,kwisha habari yake.CHEZA NA CCM WEWE!!?
 
Back
Top Bottom