VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Ilisemwa kuwa ari,nguvu na kasi ya Serikali ya Rais Magufuli vingeufifisha kama si kuufuta upinzani nchini. Hata makada walifikia kusema kuwa mwaka 2020 uchaguzi utakuwa mwepesi kwa CCM.
Lakini,kutokana na hila za kidemokrasia za kule Zanzibar,Tanga,Kilombero na hapa Dar,ni dhahiri kuwa CCM inaupenda upinzani. Inataka usikike. Inataka uimarike. Inataka utajwe. Inataka ujadiliwe. Inataka upate hoja.
Hakika,CCM,soon or later,itavuna inachokipanda. Kimbunga kikali cha upinzani kinaendelea kutengenezwa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam