CCM wanatangaza ilani au hoja yao ni Lowassa

CCM wanatangaza ilani au hoja yao ni Lowassa

kson m

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
6,682
Reaction score
3,066
Nimekuwa nafuatilia mikutano ya mheshimiwa Magufuli kwa muda sasa. Nilichogundua ni kwamba utitiri wa wapiga kampeni wake hawana hoja zaidi ya kuporomosha zile ngonjera za matusi kwa mh LOWASSA na Sumaye. Jipya nililoona ni kibwagizo cha kuvua miwani au kutokuvua.

CCM ilichagua wehu au ndivyo CCM ilivyo? Magufuli una hali mbaya, sitisha kampeni katafute wapiga debe watakaokunusuru. Umetelekezwa ili ulizike hilo lichama peke yako. Pole sana mh Magufuli.Vinginevyo zungumza vizuri na mh Rais LOWASSA anaweza akakutupia kawizara.
 
Nimekuwa nafuatilia mikutano ya mheshimiwa magufuri kwa muda sasa.nilichogundua ni kwamba utitiri wa wapiga kampeni wake hawana hoja zaidi ya kuporomosha zile ngonjera za matusi kwa mh LOWASA na Sumaye.jipya nililoona ni kibwagizo cha kuvua miwani au kutokuvua.CCM ilichagua wehu au ndivyo ccm ilivyo?magufuri una hali mbaya sitisha kampeni katafute wapiga debe watakaokunusuru.umetelekezwa ili ulizike hilo lichama peke yako.pole sana mh magufuri.Vinginevyo zungumza vizuri na mh raisi LOWASA anaweza akakutupia kawizara.

Mmelaliwa kooni tulieni, yaani fisadi anasifiwa na ukawa watu wakae kimwa. Mapambano ya mafisadi aliyoasisi dr slaa hayatakoma mpaka mafisadi yote yafungwe ili watanzania tuishi kwa raha kwenye nchi yetu. Hapa kazi tu.
 
Mmelaliwa kooni tulieni, yaani fisadi anasifiwa na ukawa watu wakae kimwa. Mapambano ya mafisadi aliyoasisi dr slaa hayatakoma mpaka mafisadi yote yafungwe ili watanzania tuishi kwa raha kwenye nchi yetu. Hapa kazi tu.[/QYUOTE]

Kwan hao nafisad wananapatikana wap? Kama siyo ccm!!! Jamaa aache ctry kuwa ataanzisha mahakama ya mafisadi, huko ccm ndo yamejirundikaaa balaaa!!
 
Mmelaliwa kooni tulieni, yaani fisadi anasifiwa na ukawa watu wakae kimwa. Mapambano ya mafisadi aliyoasisi dr slaa hayatakoma mpaka mafisadi yote yafungwe ili watanzania tuishi kwa raha kwenye nchi yetu. Hapa kazi tu.

Dah! Kweli dunia haitakuja kuishiwa vituko,leo hii ccm inajipambanua kama chama cha kupambana na ufisadi? Acheni kuwafanya watu mapunguani, ufisadi na ccm hautotenganishwa kamwe. Nyie tulieni dawa iingie taratiibuu ....
 
Daaaaaah ktk list y kkoc cha watu 32 ccm wanachekesha xn, hamna hoja wala Kunad Sera especially makongoro tang uznduz wao ktaifa, kaenda msoma pia et kuvua miwan oyeee, mara fimbo oyeee na madongo kw lowasa na sumaye, utafkr hakna wagombea wngne
 
Tone la maji baharini au bahari kwenye tone la maji?CCM MNA matatizo kutokuona tatizo.tuelezeni bayana kuhusu ufisadi huu na wahusika wake-ESCROW,EPA,DEEPGREEN,MEREMETA,pia usafirishaji wa TWIGA,mabehewa ya treni,mabilioni yaliyokwapuliwa wizara ya Ujenzi,ufisadi benki kuu,mgodi wa makaa ya mawe kiwira,hayo ni baadhi tuu.je CCM imechukua hatua gani?tuseme kweli CCM imeoza na haifai.huwezi ukaitenga na ufisadi.ufisadi ni CCM na CCM ni ufisadi.mgombea wake ameifananisha na kitanda kilichofurika kunguni.sasa wewe huoni hilo?CCM haifai.imechoka,imepoteza mwelekeo.hii CCM sip ile ya Nyerere.CCM ya Nyerere ilinyongwa lilipozikwa azimio la ARUSHA.sasa IPO CCM ya mafisadi na vibaraka wao.tuing'oe sasa.Dawa ni moja.Tuichague UKAWA na mh.LOWASA hawa wana mbinu za kulitoa taifa lilipokwama.
 
Dah! Kweli dunia haitakuja kuishiwa vituko,leo hii ccm inajipambanua kama chama cha kupambana na ufisadi? Acheni kuwafanya watu mapunguani, ufisadi na ccm hautotenganishwa kamwe. Nyie tulieni dawa iingie taratiibuu ....
Kamanda wa mafisadi amekimbilia ukawa
 
Inabidi mkubali kuwa chama kichafu, viongozi wachafu na ndiyo maana hakuna mtu wa kumshika Magufuli mkono wote wale wameingia kizani.
 
Hapa kazi tu mpaka mnaanza kusingizia kuibiwa kura, kura gani mlizonazo mpaka muibiwe?
 
CCM hawana tena sera. Kweli wamebeba kitabu ati kina sera. Walikionesha kwenye mkutano lakini hakisomwi wala hakifuatwi. Wamemwachia yule mama wa watu ndiye anachukua hapo kidogo kidogo na kuandika kwenye kakaratasi kuwasomea watu.
Magufuli kabaki kuomba kura za wapinzani bila sera. Lusinde na Mchemba hawahitaji kitabu cha matusi bali yamejaa moyoni. Mungu mkubwa aliepusha ccm kumchagua awe ndo mgombea. Dunia nzima ingezimia kwa matusi anayoyajua na kuyatoa mdomoni. Yaani utafikiri anaharisha matusi.
CCM imeshajifilia kifo cha mende. Mazishi 25 Oktoba hii. Mtangazie na mwenzio
 
Inabidi mkubali kuwa chama kichafu, viongozi wachafu na ndiyo maana hakuna mtu wa kumshika Magufuli mkono wote wale wameingia kizani.

Ni kweli mzee magufuli hana usaidizi na hii imechochewa na kauli zake za kuwawajibisha wezi ndani ya serikali yake.kila mmoja ameweka mguu mmoja ndani na mwingine nje.hofu imewajaa japo Magufuri na CCM hawawezi kushinda uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom