CCM wanatamani kubadili rangi za chama

Wangefanya hivyo haraka cause mimi ni shabiki mkubwa sana wa Dar es salaam Young African Sports Club, naahindwa kabisa kuva uzi wa wana Jangwani wale kwasababu ya hawa magamba aise.
 
Wangefanya hivyo haraka cause mimi ni shabiki mkubwa sana wa Dar es salaam Young African Sports Club, naahindwa kabisa kuva uzi wa wana Jangwani wale kwasababu ya hawa magamba aise.

Aisee inaumiza sana mwana yanga
 
Sawa sawa mkuu
 
Kumbe ushamsahau zito?dr nae kashasahaulika

Mkuu cdm ni hatari kwa wasaliti woote maana wasahaulika, yuko wapi shonza, mwampamba, zzk, dr mihogo, machange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…