CCM wanamhujumu Lowassa

Mnalazisha Lowasa ajadiliwe bila sababu za msingi, awamu yake imeisha akabidhi kijiti aendelee kula mafao yake kwa utulivu.

Maana waliomchafua ndio hao amewapigisha magoti na kuwafanya watembee nchi nzima kumsafisha.....kwa heri Lowasa uliitamani Ikulu yetu , ila wenye Ikulu tukasema heri zimwi likujualo. !
 
Nakuona kama mwanamke alipigwa na mumewe alafu anaenda kulilia bafun
 
Hatukuwa tayari kuongozwa na jambazi edoo, Asante Mungu kwa miujiza uliyotuonyesha mwaka jana na kutupatia Rais bora afrika Dr Magufuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…