Hivi viroba huwa mnapewa bure?
Nilipita nyumba ya mbunge wa CCM ,aloo nilisikia vilio tu wakilizana ,mara hii mumewangu hatushindi ,mtoto nae amwambia baba yake baba bora uende UKAWA ,ilikuwa kama kuna msiba.
hii sindano ya mwaka huu ni ya ng'ombe kwenye tako la binadamu.