Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Ukitafakari mazingira yanayoandaliwa na ccm dhidi ya kura ya maoni na maandalizi ya uchaguzi mkuu mwakani utakubaliana na Mimi Kuwa wanajua nini wanafanya na ni kwa jinsi gani watafanikiwa.
Huku mtaani kwetu Mabalozi wa nyumba kumi kumi wanakusanya vitambulisho vya kupigia kura, lengo liko kwenye mabano.
Baadhi ya maeneo ccm wanachangisha michango ya Siri kutoka kwa wafanya biashara na taasisi. Michango hiyo ni Kuanzia laki moja na kuendelea, lengo pia liko kwenye mabano.
Tumekwisha they know what they are doing.