CCM wanajua kucheza Kete za Draft

Kuwapima CCM kama wanaweza kusukuma kete ni mpaka pale kutakapokuwa na uwanja sawa wa kisiasa kwa vyama vyote.

Hatuwezi kuipima CCM huku ikiwa na faida ya vyombo vya dola kama TISS, Polisi nk kwenye operation zake ikivitumia hivi vyombo.

Upinzani Tanzania unakazi kubwa sana na watu wengi sana watakufa na kuumia ili mambo yakae sawa na political ground iwe fair ( civilization level)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…