CCM Wanahitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Tanzania

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
780
Reaction score
1,831
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania

1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .

2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo

3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi

4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao

5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
 
IMG-20250825-WA0019.jpg
 
The Beginning of the End!
 
1. Maamuzi ya wajumbe yameheshimiwa ila Chama kimeonesha ukubwa wake kwa wanaokiuka taratibu, kanuni na miiko ya Chama.

2. Katika chama chochote uongozi wa juu ndio unaotoa dira na muelekeo wa Chama. Uongozi wa juu ndio kioo kwa wanachama wa kawaida. Kwa CCM , vikao vya juu ndio wenye jukumu hilo ambavyo ni CC, NEC na GM.

3. Mvuto wa Chama ni katika sera zake na kipimo Cha mvuto wake ni uchaguzi ,OKTOBA sio mbali kuthibitisha Hilo kwenye sanduku la kura

4. Katiba ndio msingi Mkuu wa utaratibu unaotakiwa kufuatwa na Chama Cha Mapinduzi kinafuata taratibu na maelekezo yote kwenye katiba yake na ya nchi.

5. Kanuni ya 'natural justice' inazuia kumhukumu mtu kabla ya kukutwa na kosa. Kwa muktadha huu umekiuka kanuni hii kwa kuwahukumu wafanyabiasha na misingi ya Chama ya usawa
 
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania

1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .

2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo

3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi

4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao

5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
Kukatwa kwa majinà ya baadhi ya walio ongoza majimbo ni si kupuuza maoni ya wajumbe, ni matokeo rushwa ya wazi iliotumika. Walisahau ukiiga kunya kwa tembo utakati msamba. Walipo ona mama kusambaza piki piki na baisikeli takukuru na tume ya uchaguzi wamekaa kimya nao wakaona ni ruksa. Huko tabora mmiliki mmoja wa vyuo alitumia mabilioni mradi wa kusaka ubunge, yupo ICU.
 
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania

1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .

2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo

3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi

4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao

5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
Nileeteeni likebo niishi nalo nyumbani.

Mpaka sasa tz hakuna chama kiinaitwa ccm ,ni wahuni nyuma ya Genge la chama
 
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania

1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .

2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo

3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi

4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao

5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
Ikiwa sivyo basi kushukuru hata kwa amani iliopo 🙏🙏🙏🙏
 
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania

1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .

2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo

3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi

4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao

5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
Na bado hamjasema
 
Back
Top Bottom