Don't underestimate the power of this Old Party. Hata kama wamejeruhiana hua kina recover haraka sana sababu kipo stable
TAKUKURU wamekaa pembeni, rushwa ya kura za maoni itashughulikiwa ipasavyo na vikao vyao, kwa hiyo watakapokwenda kwenye uchaguzi watakua na hoja ya kuwaeleza wapiga kura kuwa wapo committed kwenye kupambana na rushwa na wamesafisha uozo ndani yao. Katika hili tujiandae kuona baadhi ya waliopata sifuri kwenye kura za maoni wakipewa nafasi kupeperusha bendera