😀😀😀 Man to man siyo?Wanasubiri upinzani watangaze ili wajue aina ya wagombea wa kuwachagua kulingana na aina wagombea upinzani watakawachagua
Mkuu bahati yao wanazuia PESA tungewanyoosha.....Kwanza wamebana kwenye kubadli dolara to TZS pili wamezuia baadhi ya taasisi zisitoe elimu kwa wapiga kura.Kazi kweli kweli na bado tutawabana tu.Mtu yeyote akitaka kufanikiwa sharti awe realistic, kadhalika wapinzani.
CCM imekuwepo kabla ya upinzani, hivyo CCM haiwezi kuwa dependent kwa upinzani kwa lolote lile.
Amini amini nakwambia, kiama kitapita lakini CCM itabaki.
Mkuu uko sahihi sasa tufanyeje?au tuendelee tu kujadili?CCM inawekwa pamoja kea nguvu ya dola ( Kofia ya Rais ).
Bila hivyo CCM hakuna.
Ndio maana wanaCCM ni kama wamefungiwa kwenye CAGE
Hata ile sheria iliyotungwa ya kutaka mwanasiasa akihama chama lazima akae mwaka mzima ndio agombee ilikuwa kwaajili yao ( yaani ukikatwa utulie ).
Hapo ndio utawakuta wanaCCM wanahaha kuwatafuta kina HECHE wawasemee kwa kuupinga hiyo sheria ( maana wao kusrma hawawezi watashughulikiwa ).
Hata kupiga kura za wazi kwa wagombea Mwenyekiti na wa Zanzibar ilikuwa ni kutafuta mchawi wa kumdhibiti.
Ondoa vyeo vya kugawiana aka rushwa.
Weka pembeni Dola.
Hakuna CCM.
Hata sasa wamechelewa kutoa majina kuepusha wagombea watakaokatwa kuhama vyama.
Kumbuka CCM hawataki kabisa kusikia mambo ya mgombea binafsi binafsi kwa sababu hiyo.
Hizo pesa wamezuiaje? Kwani kuna aliyefanya kazi akakosa ujira wake?Mkuu bahati yao wanazuia PESA tungewanyoosha.....Kwanza wamebana kwenye kubadli dolara to TZS pili wamezuia baadhi ya taasisi zisitoe elimu kwa wapiga kura.Kazi kweli kweli na bado tutawabana tu
Mtu mmoja hawezi kufanya chochote.Mkuu uko sahihi sasa tufanyeje?au tuendelee tu kujadili?
Akili kubwa au underdogs.hutaelewa wewe.Haya ni mambo ya akili kubwa
delete ccm Oct 28Leo nimeenda na Mgombea wangu kwenda kuchukua fomu ya Kugombe ubunge kwa Tiketi ya Chama Rafiki.Nimekuta tayari vyama saba vimekwisha chukua FOMU ila CCM na CHADEMA bado hawajachukua Fomu.
Nilipokuwa hapa kwa msimamizi wa uchaguzi kuna mambo ambayo nimeyaona na kuyatafakari hasa kuhusu CCM kuchelewa kutangaza watu waliopitishwa kugombea katika nafasi mbalimbali. Nimejiuliza sana iwapo sababu kubwa ni kuogopa chama kugawanyika zaidi au ni kutaka kucheza foul.
Kwa mtazamo wangu naona kabisa dalili ya CCM kuingia katika mgogoro mkubwa sana hasa ukizingatia kwamba CCM wagombea wengi waloshinda walitumia pesa.
Niseme tu Inatosha sasa kufikiri kwa KIAMA ya CCM imekaribia.
Tusubiri tuone
Mtanzania mmoja hawezi kuishinda 'The underated baradhuli kama CCM'Mkuu mtu mmoja sio mtanzania?
Rushwa ni kosa kubwa la jinai. CCM ni chama cha siasa hivyo hakina mamlaka ya aina yoyote, ya kushughulikia jinai. Ni hivi, wakati ukiandika maoni yako haya tayari CCM wanaogelea kwenye anguko la kwanza la kuiondolea Takukuru mamlaka ya kushughulikia rushwa. CCM hawana tena namna watawaeleza wapiga kura kwamba wanaweza kupigana vita dhidi ya rushwa. Hoja ya rushwa imezidi kuwaponyoka. Ilianzia kwenye manunuzi ya wabunge na madiwani na imeendelea kujidhihirisha kupitia mchakato wa kura za maoni. Wenye imani ya ndani kabisa ya Kikristo wanajua kuwa kuna wakati Mungu humtia upofu mtu kama amekusudia kumdondosha! kwa matendo ya CCM hakuna tena mtu mwenye akili timamu anayeweza kukiamini chama hicho kuwa kinaweza kuongoza vita dhidi ya rushwa. Hakuna!Don't underestimate the power of this Old Party. Hata kama wamejeruhiana hua kina recover haraka sana sababu kipo stable
TAKUKURU wamekaa pembeni, rushwa ya kura za maoni itashughulikiwa ipasavyo na vikao vyao, kwa hiyo watakapokwenda kwenye uchaguzi watakua na hoja ya kuwaeleza wapiga kura kuwa wapo committed kwenye kupambana na rushwa na wamesafisha uozo ndani yao. Katika hili tujiandae kuona baadhi ya waliopata sifuri kwenye kura za maoni wakipewa nafasi kupeperusha bendera
💯💯💯Rushwa ni kosa kubwa la jinai. CCM ni chama cha siasa hivyo hakina mamlaka ya aina yoyote, ya kushughulikia jinai. Ni hivi, wakati ukiandika maoni yako haya tayari CCM wanaogelea kwenye anguko la kwanza la kuiondolea Takukuru mamlaka ya kushughulikia rushwa. CCM hawana tena namna watawaeleza wapiga kura kwamba wanaweza kupigana vita dhidi ya rushwa. Hoja ya rushwa imezidi kuwaponyoka. Ilianzia kwenye manunuzi ya wabunge na madiwani na imeendelea kujidhihirisha kupitia mchakato wa kura za maoni. Wenye imani ya ndani kabisa ya Kikristo wanajua kuwa kuna wakati Mungu humtia upofu mtu kama amekusudia kumdondosha! kwa matendo ya CCM hakuna tena mtu mwenye akili timamu anayeweza kukiamini chama hicho kuwa kinaweza kuongoza vita dhidi ya rushwa. Hakuna!
Ambacho hujui ni kwamba. Ndani ya CCM hakuna mgombea aliyekuwa akitaka kushinda ambaye hakutoa rushwa. Hakuna! Kinacholeta shida sasa ndani ya chama sio suala la rushwa, ni suala la nani anatakiwa na mfumo. Hofu iliyopo sasa mfumo unatafakari ni vipi utatazamwa na wanaCCM kama utaamua kuwapora mamlaka ya kupigia kura mtu wanayemtaka wao!
Mkuu,I will prove you wrong.It takes just one person to take them down.Nitafute PMMtanzania mmoja hawezi kuishinda 'The underated baradhuli kama CCM'
Inahitajika umoja wa hali ya juu.
Watu washafanya mengi lakini mpaka sasa hayajaleta effect kwa CCM.
Kuna waliouliwa mchana kweupeee na CCM na wabongo wakaishia kusikitika na maisha yakaendelea.
Kuna waliofungwa na walio jela kwa uonevu wa wazi kabisa.
Lakini watu bado hawajui mbaya wao nani.
Kama ni uchaguzi huwa wanapora tu mchana kweupe.
Zanzibar na Serikali za mitaa ilikuwa ujambanoka kabisa tena wakiwa macho makavu kabisa.
Sioni mtu mmoja kama kuna kitu hawajafanya.