Umetumia misamiati migumu sana kwa akili ya vibaka wa ccm kukuelewa. Utashangaa wankuja hapa na mapovu kumwaga pumba bila kugusa hoja ulizozisema hata punje. Mingoi;njoo hapa umjibu kamagetac;
Tena wasije kututemea mate waongee ukweli,kwasasa hakuna mtanzania ambae hajui kinachoendelea,sema tu wengine ndio wanatusaliti kwa njaa zao