SUNGURA-MJANJA
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 200
- 33
Kulikuwa tamasha la uzinduzi wa albamu ya nyimbo za Injili..Ndipo mgeni rasmi ambaye ni "Afisa tawala wilaya ya Mbinga aliposema. Msimamo wa Serikali ni mfumo wa Serikali 2 Kama alivyosema mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ kwenye hotuba yake ya ufunguzi wa bunge la Katiba. Alisema tunawaomba wananchi kuunga mkono msimamo huu wa serika 2..Swali: wabunge wa bunge maalum la katiba wanafanya nini kama Serikali imeshatoa msimamo wa Serikali 2? Je' kauli ya mh Rais inaweza kuwa kauli ya mwisho? Nawasilisha