Mtwara wametumia demokrasia kuhoji na kulalamikia serikali yao,bado wananchi wana fursa nyingine kutumia demokrasia kuamua hatima yao kwa sanduku la kura mwaka 2015.
KIGOMA,Serikali ya CCM ilikuwa haiwasikilizi(wananchi wakaipiga chini katika uchaguzi) ,sasa CCM ijifunze somo kutoka KIGOMA,watafute majibu ya kero za Mtwara/Lindi katika kutatua kero zilizobainishwa na wananchi.!!