CCM wana haki ya kuchukia

CCM wana haki ya kuchukia

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Ccm wana haki ya kuchukia,baba askofu kakobe amewaharibia Kiki yao ya Hama Hama kwa dakika 2 tu,wakati ccm,na watu wao waliandaa hiyo Kiki kwa garama kubwa sana
Kuna usemi wa kihenga unasema ukitaka kujua kama kuna wadudu kwenye mashimo,mwaga maji ya moto,swali ni je baba askofu kakobe amemwaga maji ya moto kwenye shimo?maana taasisi zote za serekali,pamoja na taasisi za chama cha mapinduzi zimeshajitokeza hadharani na kumtisha baba askofu kakobe,kilichobaki ni kupimwa mkojo,kuhojiwa uraia wake,na kupewa kesi ya uchochezi tu,pamoja na hayo yote kwa maoni yangu ccm walikuwa na haki ya kuchukia sana,maana baba askofu kakobe amewaharibia sinema yao yote,na sanaa yote ilikuwa inaratibiwa na chama cha ccm
Na bado kila nyoka atatoka pangoni kwa wakati wake
Dakika 2 tu za baba askofu kakobe zimehariki Kiki zote za ccm zilizoratibiwa kwa karibu miaka 2 na zaidi
 
Ile ya kumuachia Babu Seya imekufa kifo cha mende.
Ile ya VP kuhamia Dodoma imeanguka kifudifudi.
Ile ya kumtumbua Mkurugenzi wa NHC imekauka.
Kakobe amesema dawa ya kuokoa kiki zote hizi ni KUTUBU.
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Ki ukweli baba askofu kakobe ameharibu Kiki zote kwa dakika 2 tu
Kuokota magari bandarini
Kununua ndege
Kuokota tren
Vita zidi ya ufisadi
Kuhama Hama kwa wabunge na madiwani
Dr shika
Makenikia,na kadhaliaka dakika 2 tu za mpaka mafuta wa bwana ameharibu kila kitu
 
HILIZI KIUNONI WAMELITOA HAO CCM?Baba askofu kasema kiongozi ana LIHIKIZI Kwa kiuno.


Taifa limegawanyika kabisa chanzo Fulani.

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.


Kila anayetoa mawazo yake sasa et ni mpinzani maajabu haya.


"I shared the same knife with your farther during curcumsicion" Betrayal in the city
 
Kuna baadhi ya wanachama wa ccm mpya wanataka kuhalilisha maendeleo kwa viboko,wanataka kutuaminisha maendeleo ni pamoja na kuvunja haki za binaadamu,kupora uhuru wa watu kuongee ndio maendeleo hiyo ni ccm mpya
 
kweli kila mtu atatoa ya moyoni kwa wakati wake, kumbe tunaoumia hii inchi ni wengi ila muda wa kusema ndo tunapishana tu, kweli watu wamejawa na ujasiri sasa hawaogopi kusema yanayowasibu mioyoni mwao
 
Ccm mpya inataka kuleta maendeleo kwa kukanyaga migogo ya watu,kurudisha viboko,na mauwaji,kwa kisingizio cha kuleta maendeleo na kupambana na ufisadi je hili linakubalika?
 
Back
Top Bottom