Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
Yaani ammgaragaza mpaka Dk. Shika! Can't believe thisKakobe kafunga mwaka kwa kishindo.
Yaani ammgaragaza mpaka Dk. Shika! Can't believe thisKakobe kafunga mwaka kwa kishindo.
Hivi kiki yenu ya Dr. Shika bado inalipa.Kiki ya Gwajima imebuma sasa inasakwa ya KAKOBE
Kwani Shika alitoa tamko?Hivi kiki yenu ya Dr. Shika bado inalipa.
Sio kiki bali ni agizo kutoka kwa mtu wa Mungu. Toba! Kama kwako kutubu ni kutafuta kiki kwa Muumba wako ni bora kuliko kutafuta kiki kumsakama!Kiki ya Gwajima imebuma sasa inasakwa ya KAKOBE
Andiko langu linawakumbusha wanachadema kuacha kutumia mbinu zile zile kujaribu kujiweka sawa...Sio kiki bali ni agizo kutoka kwa mtu wa Mungu. Toba! Kama kwako kutubu ni kutafuta kiki kwa Muumba wako ni bora kuliko kutafuta kiki kumsakama!
Siamini kama Kakobe kakunyima raha kwa kiasi hiki kwani kaandiko kako kamekaa kinyonge sana! Katubu.
Hakuna ambaye hajaguswa, walianza wana siasa wa upinzani wakaja watumishi wa umma, wakafuata wafanya biashara, then wakulima!. Nimesikitika sana leo, ITV wameonesha ngozi zikitupwa huko Njombe kisa serekali imepiga marufuku wanunuzi kwani kuna viwanda vya kusindika ngozi vinatarajiwa kufunguliwa.kweli kila mtu atatoa ya moyoni kwa wakati wake, kumbe tunaoumia hii inchi ni wengi ila muda wa kusema ndo tunapishana tu, kweli watu wamejawa na ujasiri sasa hawaogopi kusema yanayowasibu mioyoni mwao
walimpa Dr. slaa ubalozi wakitegemea atakuja kumwaga radhi mkutano mkuu wao pamoja na wanachama kibao nalo lilibumaIle ya kumuachia Babu Seya imekufa kifo cha mende.
Ile ya VP kuhamia Dodoma imeanguka kifudifudi.
Ile ya kumtumbua Mkurugenzi wa NHC imekauka.
Kakobe amesema dawa ya kuokoa kiki zote hizi ni KUTUBU.
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Maono yako ni dhaifu mno. Hili la Kakobe limebeba wanaccm na wengine. Kufikiri na kujiaminisha kuwa Kakobe ni mwanachama wa cdm na katumwa ni kujifariji kusiko na matumaini. Tafakari nje ya itikadi na akili huru utagundua kuwa walio wengi tena wenye itikadi sawa na wewe wanaumia mno.Andiko langu linawakumbusha wanachadema kuacha kutumia mbinu zile zile kujaribu kujiweka sawa...
ninawakumbusha Chadema kuwa walijaribu kiki za babu seya,shehe ponda,mange na gwajima bila mafanikio.
Ile ya kumuachia Babu Seya imekufa kifo cha mende.
Ile ya VP kuhamia Dodoma imeanguka kifudifudi.
Ile ya kumtumbua Mkurugenzi wa NHC imekauka.
Kakobe amesema dawa ya kuokoa kiki zote hizi ni KUTUBU.
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
na pengine sharti kubwa la hilo lihirinzi ni kutohudhuria kwenye misiba!!HILIZI KIUNONI WAMELITOA HAO CCM?Baba askofu kasema kiongozi ana LIHIKIZI Kwa kiuno.
Taifa limegawanyika kabisa chanzo Fulani.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Kila anayetoa mawazo yake sasa et ni mpinzani maajabu haya.
"I shared the same knife with your farther during curcumsicion" Betrayal in the city
msiombe Gwajima naye aamke maana huyu mmoja tu pumzi huko CCM imekata.Kiki ya Gwajima imebuma sasa inasakwa ya KAKOBE
Nasikia kuna kiki wanaliandaa kwa kulazimisha January mapema.Sasa hivi waombe angalao zile ndege ziachiwe,nafikiri hiyo na kuhamia dodoma ndio Kiki zao za mwisho
...Bila kusahau KUHAKIKI Taasisi zote za Dini Nchini..kumtisha baba askofu Gakobe,kilichobaki ni kupimwa mkojo,kuhojiwa uraia wake,na kupewa kesi ya uchochezi tu,