CCM wana addiction ya Lowassa

CCM wana addiction ya Lowassa

VIVIANET

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
2,129
Reaction score
2,920
Kwa wale wote waliopitia darasa kidogo hasa waliosoma Psychology watakubaliana na mimi kuhusu mtu yeyote anapokuwa amepata addiction ya kitu chochote huwa analazimika akifanye ndipo atajisikia vizuri.

Ukifanya utafiti mdogo utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanachama na wapenzi wa CCM wamekuwa addicted na Mh Lowassa wasipomtaja wanajisikia kama wamebeba mzigo fulani kama mtu anayetumia madawa ya kulevya asipotumia atashinda vibaya sana siku hiyo.

Lowassa kwa wanaCCM ni addiction na mtaji kwa wengine kupata vyeo. ukimtukana tu Lowassa kuna uwezekano wa kupata cheo CCM ama ndani ya serikali. Lowassa amewaathiri sana CCM.
 
Kweli kabisa MKUU nimemsikia Bulembo licha ya kupata ubunge viti maalumu Kwa kuwa anatafuta uwaziri ameanza kumtukana Kamanda Lowassa.
 
kama washabiki wa Ali Kiba walivyokuwa addicted kwa Diamond
 
Back
Top Bottom