Edo mtamzuia kufanya midahalo? Magufuli yuko tayari,hata kesho,ujue idadi ya punje za mahindi na ngano zilizoko kwenye hifadhi ya taifaHatuna muda na midahalo..sisi ni kampeni mwanzo mwisho
Kwa jinsi ninavyomjua Magufuli, Lowassa atakua nawakati mgumu sana kushindana naye kwenye midahalo. Naamini UKAWA wanalijua hili na watafanya kila hila kulizuia kutokea.
Lowassa ni kamanda kwa jina lakinj hayupo fit mentally and physically.
Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM aliyeshiriki mdahalo wa kupambanishwa na wenzake 1995, na alifanya vizuri Sana. Mwalimu Magufuli anapewa tuition kwenye maeneo mbalimbali,hasa masuala ya kimataifa,pia utimamu wa mwili.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.
Midahalo ni lazima.Hatutakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Lazima tuwapime wagombea Urais wetu.Wanaomba nafasi kubwa na nyeti kuliko zote katika nchi.Go Tido go katika kutuandalia midahalo