Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Dah kweli hakuna aliye msafi!Uzalendo gani wa kuficha baadhi ya ushahidi waliopata katika kamati ya Richmond, na kisha kukubali mjadala wa Richamond na Dowans ufungwe kihuni. Magamba ni wale wale. Nimetoka Kyela hivi karibuni wananchi wa kule hawamataki kabisa kwa sababu Mwakyemeb n mmoja wa wanahisa katika moja ya makampuni matona yanayonunua zao la Cocoa kwa kuwadhulumu wakulima wapiga kura wake kupitia kucheza na mizani ambapo Kilo 10 za Cocoa husomeka kama Kilo 7 tu katika mizani ya kampuni hizo.
Ni kweli Dr Mwakyembe ni Jembe but ccm niijuayo mimi haiwezi kumsimamisha Mwakyembe, Siku zote ccm wazuri hawachaguliwi, kumbuka alitupwa Mwandosya, Dr Salim, hata dunia ikatusikitikia, ccm inataka RAHISI na si Rais, Na hivi Dr Mwakyembe wataanza kumchafua kufikia 2015 kachafuka ananuka na hafai tena, kumbuka walivo mchafua Dr Salim ALIJUTA KUGOMBEA. Acha tukipige chini 2 hiki chama cha Mafisadi
Namkubali sana. Jamaa ni mzalendo wa kweli, ila hawa wahuni CCM watamtumia vibaya.
Uzalendo gani wa kuficha baadhi ya ushahidi waliopata katika kamati ya Richmond, na kisha kukubali mjadala wa Richamond na Dowans ufungwe kihuni. Magamba ni wale wale. Nimetoka Kyela hivi karibuni wananchi wa kule hawamataki kabisa kwa sababu Mwakyemeb n mmoja wa wanahisa katika moja ya makampuni matona yanayonunua zao la Cocoa kwa kuwadhulumu wakulima wapiga kura wake kupitia kucheza na mizani ambapo Kilo 10 za Cocoa husomeka kama Kilo 7 tu katika mizani ya kampuni hizo.