CCM "Wampongeza" Magufuli

Determinantor

Platinum Member
Mar 17, 2008
57,766
92,209
Ni furaha na nderemo kila mahali pa nchi, Wana CCM "tunampongeza" Magufuli, Wapinzani wanaisoma namba peke yao, sie tunaserebuka, tumeipenda wenyewe, Rushwa tumekula wenyewe, Mahakamani tunapanda wenyewe, acha waisome namba eeeehh, CCM mbele kwa mbele.

Ni wapi media conference za kufuta "wasaliti na kuwafukuza chamani"? Mbona ziliotangazwa juzi kati hapa halafu ghafla zimetoweka? Ni lazima CCM tumsaidie Rais wetu kuwafukuza "wasaliti" ili sisi wasafi tubaki na chama chetu, Hongera sana Viongozi wetu maana hata Katibu Mkuu na Mwenezi wake wametulia wamekaa kimya naam upele umepata mkunaji.

Sisi wana CCM "tunakupongeza" sana hata hizo pesa mbuzi tulizopoteza sio ishu ya kiviille
 
Duh! Huu sasa mtego!
Asiyekuwemo yumo na aliyekuwemo hatoki.
 
Na aliyekuwepo kabla ya Magufuli mlimpongeza pia, ni kawaida yenu sion cha ajabu hapo.majipu yenu mliyatengeneza wenyewe.
 
Kwani aliyepita hamkumpongeza? Ni kawaida na ndo imezoeleka hivyo kupongezana. Hakuna cha ajabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom