CCM wamkemea January Makamba

CCM wamkemea January Makamba

Hatutomchagua mgombea uraisi kwa sababu ya ujana wake na vilevile hatutomkataa mgombea uraisi kwa sababu ya uzee wake
 
january makamba hana sifa ya kuwa raisi wa tanzania mosi hana uzoefu wowote katika masuala ya uongozi kwa muda mrefu,pili ubunge alisinda bumbuli kwa msaada wa baba yake makamba,tatu ni muislamu hatuwezi watanzania kuongoza kwa vipindi viwili na marais waislamu tupu,nne amekubali kuunda kambi na msaliti zito kabwe ambaye amefukuzwa uanachama kwa kukihujumu,hatuwezi watanzania kuuza nchi yetu kwa waswahili tena wamebomoa na kuivunja vunja.shame on you makamba
 
Hapana kurudi nyuma, hakika namuona makamba akiwa tofauti na akina Lowassa RICHMOND & IPTL. Hata hivyo endapo ccm itamsimamisha Sitta, Magufuli, Mwakyembe basi nitaomba makamba aondoe jina ila kama ni Lowassa hapo mimi na familia tunabaki ccm na kura tutapiga UKAWA
 
Back
Top Bottom