J juliana kwembe Member Joined Feb 27, 2015 Posts 35 Reaction score 35 Oct 18, 2015 #1 Wanasema Mwanza wamefurika... Naona kama kuna mikutano 3 hapo .... Teh! Teh! Teh! Hizi photoshop bhana .... Attachments 1445165695532.jpg 105.7 KB · Views: 1,742
Wanasema Mwanza wamefurika... Naona kama kuna mikutano 3 hapo .... Teh! Teh! Teh! Hizi photoshop bhana ....
twahil JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 4,100 Reaction score 2,796 Oct 18, 2015 #2 Tuliona kwenye Startv live...haina haja ya kutuaminisha kama waliohudhuria walikuwa ni wawili au kumi..
Tuliona kwenye Startv live...haina haja ya kutuaminisha kama waliohudhuria walikuwa ni wawili au kumi..
twahil JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 4,100 Reaction score 2,796 Oct 18, 2015 #3 watanzania waliiona nyomi ya mwanza...propaganda zenu hatuzitaki hapa...mnatengeneza picha halafu mnasema ccm wanatengeneza fyoooooo
watanzania waliiona nyomi ya mwanza...propaganda zenu hatuzitaki hapa...mnatengeneza picha halafu mnasema ccm wanatengeneza fyoooooo
B baba solomoniii New Member Joined Jul 28, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Oct 18, 2015 #4 Hata matokeo ya uchaguzi wapo watakaosema ni photoshop....
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Oct 18, 2015 #5 juliana kwembe said: Wanasema Mwanza wamefurika... Naona kama kuna mikutano 3 hapo .... Teh! Teh! Teh! Hizi photoshop bhana .... Click to expand... ingia michuzi blog kuna video kabisa ikionesha huo mkutano. usiwe mbishi bila kujiridhisha na taarifa husika.
juliana kwembe said: Wanasema Mwanza wamefurika... Naona kama kuna mikutano 3 hapo .... Teh! Teh! Teh! Hizi photoshop bhana .... Click to expand... ingia michuzi blog kuna video kabisa ikionesha huo mkutano. usiwe mbishi bila kujiridhisha na taarifa husika.
Y YONGOMA JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 276 Reaction score 113 Oct 18, 2015 #6 abunuas said: ingia michuzi blog kuna video kabisa ikionesha huo mkutano. Usiwe mbishi bila kujiridhisha na taarifa husika. Click to expand... huyo si sawa na makada wengine kama wakuu wa mikoa na madc
abunuas said: ingia michuzi blog kuna video kabisa ikionesha huo mkutano. Usiwe mbishi bila kujiridhisha na taarifa husika. Click to expand... huyo si sawa na makada wengine kama wakuu wa mikoa na madc
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 18, 2015 #7 Mie nilikuwepo misungwi live, so Kakojoe ulale.
mal-sir Senior Member Joined Jan 20, 2015 Posts 136 Reaction score 12 Oct 18, 2015 #8 Watu kuhudhuria co shda wanacklza sera nashangaa kiongoz mpumbacu mmoja wa ccm alkataza wananch kuhudhuria mikutano ya ukawa co demokrasia hyo
Watu kuhudhuria co shda wanacklza sera nashangaa kiongoz mpumbacu mmoja wa ccm alkataza wananch kuhudhuria mikutano ya ukawa co demokrasia hyo
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Oct 18, 2015 #9 ccm wamechoka kila mahali. Hawana pumzi
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Oct 18, 2015 #10 YONGOMA said: huyo si sawa na makada wengine kama wakuu wa mikoa na madc Click to expand... acha bangi. kwani mtu akiongea si unaona mwenyewe anachoongea na watu anaoongea nao? anawataja wana-mwanza nipeni kura na kadhalika? ubishi mwengine ni wakipuuzi.
YONGOMA said: huyo si sawa na makada wengine kama wakuu wa mikoa na madc Click to expand... acha bangi. kwani mtu akiongea si unaona mwenyewe anachoongea na watu anaoongea nao? anawataja wana-mwanza nipeni kura na kadhalika? ubishi mwengine ni wakipuuzi.
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Oct 18, 2015 #11 Siku zak za kujidai hapa zinahisabika
C cellinityo-murdch Senior Member Joined Mar 26, 2015 Posts 190 Reaction score 23 Oct 19, 2015 #12 ngoja niangalie kama kichinjio changu kipo ha ha haaaaaaaaaaa