wataalam wameona uchaguzi wa mwaka huu inaweza ukawashangaza
wengi mana dalili zinaonesha JK atashinda kwa 90% akifatiwa na Dr Slaa 15%
Japo mahesabu yalikupita kushoto lakini mwaka huu ngoma tight. Hapati percent za wizi kama uchaguzi uliopita.
wataalam wameona uchaguzi wa mwaka huu inaweza ukawashangaza
wengi mana dalili zinaonesha JK atashinda kwa 90% akifatiwa na Dr Slaa 10%
Hii itakuwa ushindi wa kishindo
Mpaka sasa Dr Slaa hajaanza kampeni anaogopa aanzie wapi
JK haibi kura mwaka huu watu wanamesema wanampa
heheheheJK 90% Slaa 15% Lipumba 5%
Started by Jeykey, Today 11:00 AM
Replies: 20
Last Post By:Last Post: Today 11:26 AM by Butola
- Views: 0
Forum:
Uchaguzi Tanzania 2010
Topic Information
Users Browsing this Topic
There are currently 14 users browsing this thread. (10 members and 4 guests)
Kwa hiyo kipindi kilichopita aliibaJK haibi kura mwaka huu watu wanamesema wanampa
Dick umekuwa hauna mawazo kwakuwa wewe umekurupuka tu kuandika hata bila kufikiria..Tafuta thread nyingine halafu utafakari kabla ya kui-post.
Mimi sikifagirii chama huki cha CCM... lakini situation inaonesha kimeshashinda, kwasababu Zenj wamesha vunjwa mbavu kwa kumsimamisha Dr. Shein, na kumleta huku bilali ni saikolojia kubwa sana kwani kura zoooteee za CUF zimesha nyang,anywa na CCM kutoka Zenj
Majimbo zaidi ya kumi sasa yameshakuwa Confirmed kuwa yapo chini ya CCM,, Source THE GUARDIAN 21STAUGUST2010,, SASA KUTOKANA NA MAJIMBO HAYO AMBAYO UKITAKA HABARI KAMILI NENDA THE gUARDIAN tayari CCM wamesha pata kura kadhaa ambazo wao kwa sasa wanahitaji kuongea tuu kidogo ili wajihakikishie ushindi,,
Navilaumu sana Vyama Pinzani kwa kuto simamisha wagombea katika baadhi ya majimbo kwani kwa staili hiyo maana yake wamekubali CCM wachukue tena nchi yetu waendelee kuiharibu kwa ufisadi...
Mimi inaniuma sana
braza hesabu ya kujumlisha inakupiga njenga nini