Ccm wamepigwa bao la kisigino

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Ulifatilia post nyingi sana leo utashangaa mawakala wengi wa CCM wakijaribu kumcritisize kijana aliyechaguliwa na CDM kuwa katibu mkuu

Wengi utawasikia kwanini hakuwa Mnyika,Antony Komu? Au Tundu Lisu ambao ni wakongwe wa chama


Hahahaha cha ajabu walikuwa wanasubiria wawe hao ili wapate kuendeleza ile hoja yao ya ukanda

Imekula kwao sasa wanatapata

Oooh mgeni kwenye chama! Kwani Akson alipopewa umakam speaker alikuwa mwenyeji kwenye chama?


Hili linaitwa bao la kisigino
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom