Mimi ni mteja wa Vodacom (T). Mara kwa mara napokea matangazo ya promosheni ambayo yanatumwa na Voda au kupitia mifumo ya taarifa nilizojisajili rasmi kama "Clouds Kwanza" nk.
Imeniaribia mudi yangu saaana, nimesikitika san, nimehuzunika sana na nimekereka sanaaaa kupokea ujumbe huu wa "Kutoa ni moyo unaweza! kuchangia CCM kwa kutuma neno CC Kwenda namba 15377........!. Nichangie CCM, eti CCM ambayo haikuwahi hata siku moja kutumia utaratibu huo kuhamasisha kuchangia maendeleo ya wananchi masikini huko vijijini, leo inataka tena kura!.
Cha ajabu huu ujumbe umetumwa na kampuni ya "PUSH MOBILE" ambayo hata sijawahi kuisikia masikioni mwangu kabisa na sijui ipo wapi na imepataje namba yangu ya simu na inanufaikaje na zoezi hili.
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa, achia mbali CCM ambayo ni Serikali na nilidhani ndio ilipaswa ihakikishe taarifa zangu binafsi kama namba ya simu zinatumika kwa ridhaa yangu lakini inaonekana imehusika kukihuka hilo kwa lengo la kujinufahisha.
Kama utaratibu wa makampuni ya simu sasa upo hivi wa kutoa taarifa za wateja pasipo ridhaa ya mteja husika, kwa nini tusiamini kuwa haya makampuni ya simu yanatumia kinyume cha taratibu taarifa zetu binafsi?. Na kama ndio voda imetoa namba yangu kwa huyo mdudu "PUSH MOBILE" or CCM, je hakuna uwezekano wa kunikata fedha juu kwa juu hata nisipochangia kama sms inavyotaka??..
Nimekereka sana na jambo hili la kutuanika wateja.
I wish I could know kama kuna linaloweza kufanyika juu ya hili kisheria
namaba zetu si personal property? na si private unless nimeridhia mwenyewe kuifanya public?
Ngoshwe tupo wengi tunaokwazwa na hii kitu............
Ushauri wangu ni kuwa kwanza uwashitaki Vodacom kwa kwa Mamlaka ya Mawasiliano TCRA
Sina uhakika sana kama kuna "data protection law" kwa Bongo. Lakini katika mazingira kama haya, ni dhahiri kabisa kuwa iwapo makampuni ya simu yanaweza kutoa namba za wateja kwa mtu wa tatu (third party), naona ipo hatari kubwa hata kwa zile taarifa zetu nyingine binafsi ulizotoa wakati wa kujisajili kwa kuhamasishwa na badae kulazimishwa na Serikali kupitia TACRA zikawa zinatumika kinyume na matakwa yetu au malengo husika.
Ulipojiunga na mtandao wako (uliponunua SIM Card) uliomba wakupe terms and conditions? Kama hujui terms and conditions za huduma, then huna haki ya kulalamika.
Mimi nimeshafanya kwa kipinidi kirefu kama VAS (Value Added Service) Provider. Na Push Mobile is just my business peer. TCRA wanatoa leseni ya SMS Broadcasting ambayo inamruhusu licensee kutuma ujumbe kwenda kwenye random number.
In short, it's purely legal!
Tatizo watanzania hatuulizii hizi terms and conditions, mpaka pale matatizo kama haya yananapotokea.
Haya makampuni ya simu ndio yanakosea yanapotuma sms hizo utadhani kila mtu ni mwanachama wa CCM.
Nina uhakika kina Dr. Slaa, Mbatia, Mbowe Et al hawajapata hizi sms. So lazima kuna some form of control.
hivi kama wanaopata hizi sms wakaamua
mimi ni mteja wa vodacom (t)ltd. Mara kwa mara napokea matangazo ya promosheni ambayo yanatumwa na voda au kupitia mifumo ya taarifa nilizojisajili rasmi kama "clouds kwanza" nk.
Imeniaribia mudi yangu saaana, nimesikitika sana, nimehuzunika sana na nimekereka sanaaaa kupokea ujumbe huu wa "kutoa ni moyo unaweza! Kuchangia ccm kwa kutuma neno cc kwenda namba 15377........!. Nichangie ccm, eti ccm ambayo haikuwahi hata siku moja kutumia utaratibu huo kuhamasisha kuchangia maendeleo ya wananchi masikini huko vijijini, leo inataka tena kura!.
Cha ajabu huu ujumbe umetumwa na kampuni ya "push mobile" ambayo hata sijawahi kuisikia masikioni mwangu kabisa na sijui ipo wapi na imepataje namba yangu ya simu na inanufaikaje na zoezi hili.
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa, achia mbali ccm ambayo ni serikali na nilidhani ndio ilipaswa ihakikishe taarifa zangu binafsi kama namba ya simu zinatumika kwa ridhaa yangu lakini inaonekana imehusika kukihuka hilo kwa lengo la kujinufahisha.
Kama utaratibu wa makampuni ya simu sasa upo hivi wa kutoa taarifa za wateja pasipo ridhaa ya mteja husika, kwa nini tusiamini kuwa haya makampuni ya simu yanatumia kinyume cha taratibu taarifa zetu binafsi?. Na kama ndio voda imetoa namba yangu kwa huyo mdudu "push mobile" or ccm, je hakuna uwezekano wa kunikata fedha juu kwa juu hata nisipochangia kama sms inavyotaka??..
Nimekereka sana na jambo hili la kutuanika wateja.