CCM wameichafua nchi yetu

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,304
Reaction score
40,564
Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu.
Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia.

Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa UVCCM.
Utalii umedorora. Raia wameanza kutoa fedha zao benk kwa hofu.

Kunyooshewa vidole vya kukusolewa na mataifa rafiki na jumuiya mbalimbali za kimataiafa.

Sasa hivi watanganyika wanataka taifa lao. Tume ya uchaguzi inaonekana ni genge majangili.

Mahakama haziaminiki hazifanyi kwa uhuru. Zimekuwa chombo cha kuhalalisha uovu na ukandamizaji.

Bunge limekua ni kilinge Cha walarushwa na wezi wa rasilimali za taifà
 
Hao waislamu wamewezeshwa na CCM kuja kula na kuiba pamoja kumiliki magari mazuri kwa fedha za umma
 
Hao waislamu wamezeshwa na CCM kuja kula na kuiba pamoja kumiliki magari mazuri kwa fedha za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…