CCM wamechukua full Control ya Klabu ya Yanga

Nakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa na ushangiliaji wa ccm ccm ccm kwenye mechi za Yanga.
 
We kuku mzeee
 

Attachments

  • Screenshot_20230604_224851_Instagram.jpg
    194.6 KB · Views: 6
Sasa msoga family ipo upande huo unategemea nini?
 
Kwani shida ni nini hujaieleza? Au rangi za "Young African Club" (Yanga)? Au Rais kutoa ndege?

Kumbuka Simba na Yanga kwenye mashindano ya CAF walipewa fedha kwa kila goli walilofunga.

Simba iliishia robo fainali kwa kutolewa kwa mikwaju ya penati nyumbani kwa Waydad, timu ambayo inacheza fainali. Iwapo itakuwa bingwa timu za Tz zitakuwa zimetolewa na Mabingwa.

Hivyo basi, tumepiga hatua kubwa ya mchezo wa soka nchini na Serikali inapaswa kupongezwa na siyo CCM.
 
Chunguza au Fuatilia CCM au Serikali inapo jiingiza kwenye michezo na ahadi nyingi basi ujuwe mambo hayata fanikiwa.
Tena hujiingiza mwisho kwa kuona ipo tamaa ya kushinda kumbe ndio kushindwa.
 
Pole. Unashindana na upepo. Nenda kampokee Tundu Lissu upate na tumehuru. Sisi tuachie timu yetu iliyotuletea uhuru.
 
Hujafanya uchunguzi umekurupuka tu, usitudanganye na mambo yako ya vijiweni
 
Umena hapo ni jezi za Yanga? Acha ujinga
 
Wanasiasa wa bongo (hasa CCM) wanaenda na trend kutafuta umaarufu.
Wasanii wa bongo movie, music, boxing au mtu yoyote akiibuka na umaarufu wanaingia akipotea wanampotezea.
 
Duh maccm yameshajipenyeza Yangani...hatari sana
yanga hapo wameloga timu! Isiposhuka daraja basi ni alama za mwishon! Waulizen kina mallow, juma necha na bongo movie walivyojihusisha na ccm! Nin kimewapata!
 
Hapo umeongea kweli lkn ccm ni valogi sana! Bhangosha!
 
Kwa hyo miaka hyo ya asili yanga akipiga mechi moja wakolon wanakimbia? Achen uongo bhana!
 
Wibu au ni ujinga tafuta kokote kule bata kwenye nchi za kikomonist kama kuna huu ujinga, huu unafanyika kwa Taifa la wajinga wasio jitambua
Kwahyo tunatakiwa Kila kitu tufanye kwakuwa fulani kafanya?
 
Mbona mbowe ni YANGA ..usemi nae kaingiza YANGA kwenye siasa. Au kwakuwa hajaenda kupokea.
Kupongeza si kosa, kosa ni kupeleka mabendera kwenye hafla isiyohusiana na siasa, jambo lile sio sahihi. Kwani kwenye hafla zenu bendera haziwatoshi? Mlichokifanya ni sawa na kwenda kuuza kitimoto kwenye baraza la Iddy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…